ulanzi mtamu
Senior Member
- May 19, 2012
- 102
- 12
habari wana jamvi, habari njema toka chanzo cha ndani cha tanesco ni kwamba tanesco inataraji kumwaga ajira lukuki mnamo mwezi januari 2014, hii ni kutokana na kuwapunguza kazi watumishi wote waliozidi miaka 50 na tayari wameshapewa barua za kuacha kazi na mwisho wao ni mwezi wa 12. Ndo ivo wadau get ready!.
Habari wana jamvi,
habari njema toka chanzo cha ndani cha tanesco ni kwamba tanesco
inataraji kumwaga ajira lukuki mnamo mwezi januari 2014, hii ni kutokana
na kuwapunguza kazi watumishi wote waliozidi miaka 50 na tayari
wameshapewa barua za kuacha kazi na mwisho wao ni mwezi wa 12. NDO IVO
WADAU GET READY!.
Habari wana jamvi, habari njema toka chanzo cha ndani cha tanesco ni kwamba tanesco inataraji kumwaga ajira lukuki mnamo mwezi januari 2014, hii ni kutokana na kuwapunguza kazi watumishi wote waliozidi miaka 50 na tayari wameshapewa barua za kuacha kazi na mwisho wao ni mwezi wa 12. NDO IVO WADAU GET READY!.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
Iko namna hii mzee, Wanaweza wakawa wanapunguza staffs cause wameadvance technologically as you know good technology means less labour force kama sasa hivi utaona kabisa hawakwei nguzo za umeme wanatumia winches, vile vile wasoma meter no more needed sasa hivi umeme uko kiganjani mwako, Tunakwenda kutumia gesi kwa umeme sasa, sasa mi naona badala ya msomi mwenzangu kutega hii dormant fursa jiajiri tuu mzee graduate per year now is 40000 unadhani ratio hiyo itacover nini...Other wise kama Rizzziwanii aongee na mshua