Habari njema kwako msomi

beal

Senior Member
Dec 30, 2012
114
60
HABARI NJEMA KWAKO!
Je, Wewe au Ndugu yako Amemaliza kidato cha Nne na amepata alama D"tatu za masomo yoyote? KP" PROFFESSIONAL SERVICES (KPS) kwa kushirikiana na Bodi ya manunuzi na Ugavi (PSPTB) ,VETA na Bodi ya Uhasibu (NBAA) tunafundisha kozi zote za manunuzi (PROCUREMENT & SUPPLIES ), Biashara (NABE 1 + NABE 2) na Uhasibu (Accounts) kuanzia Ngazi ya chini kabisa hadi kuwa Certified Procurement and Supplies Professional (CPSP) Au Certified Public Accountant (CPA) .KPS inashauri mwenye D"3 aache kuteseka na kurudia mitihani ya kidato cha nne bali aje KPS atimize ndoto zake za kufika chuo kikuu kupitia PSPTB na NBAA.Ofisi za KPS ziko Mnazi mmoja kwenye majengo ya BAKWATA/Shule ya msingi Lumumba na MWENGE-ITV kwenye majengo ya PRE-MEDIC OPEN ACADEMY Nyuma ya kanisa la Mwenge KKKT.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0713290208 au 0684091436 au 0755829991.
KARIBU SANA.
 
hicho ni chuo kama vyuo vingine au!
sababu najua maombi yote lazima yafanyike NACTE na hao hao NACTE washafunga tangu tarehe 9 pia... ndalichako hatak kuanzia 2016 wapitie chuo.. sasa sijaelewa vizuri nipe maelezo nina dogo hapa kafikisha hizo alama ila ndo NACTE siwaelewi..!
 
hicho ni chuo kama vyuo vingine au!
sababu najua maombi yote lazima yafanyike NACTE na hao hao NACTE washafunga tangu tarehe 9 pia... ndalichako hatak kuanzia 2016 wapitie chuo.. sasa sijaelewa vizuri nipe maelezo nina dogo hapa kafikisha hizo alama ila ndo NACTE siwaelewi..!
NABE ni course fupi za VETA zinamfanya mwanafunzi aende professional courses au Kwenye system za NACTE. Serikali ya sasa haitaki wanafunzi wenye ufaulu hafifu kuanza level za juu bila kuwa na vigezo stahiki. Wanataka kutengeneza tofauti halisi ya VETA,NACTE,TCU na Professional Boards. Mwanafunzi mwenye cheti chochote cha Form 4 anaruhusiwa kuanza VETA na baadae atatamburika na system ya NACTE kuanza coz yoyote kulingana na vigezo vya NACTE kuitambua VETA.
Baada ya mwanafunzi kutoka VETA anawapelekwa kwenye professional boards ambazo zina equivalent qualifications. Kwa mfano PSPTB tunapokea mwanafunzi mwenye NABE 2 tunamsogeza hadi Professional level 3 ambayo ni equivalent to degree, ndio maana mwenye degree ya procurement anaanzia professional level 4 ili kupata CPSP.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom