Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
lakn pesa alioypewa ni nyingi sana, nina wasiwasi wametumia kigezo cha ushindani na Yanga tu na si hali halisi ya uchambuzi wa kimazingira (analysis), halafu bado nina hasira naye sana kwa jinsi alivyocheza chini ya kiwango mechi ya Yanga, jana wadau wakaniambia Yanga walishuka na misumari mikali sana eti, lakini kumpa m50 nadhani not fair, nawaza reaction ya wachezaji wengine na mchango wao utakavyokua uwanjani, tulishaanza kuona dira nzuri sana ya kuwekeza kwa vijana hasa ukizingatia mkatika mwaka ambao hatushiriki kombe kubwa kikandaAmavubi ulikua na hofu sana eeh...mie nilijua atabaki tu..


