ernestina romanus
Member
- Jun 7, 2017
- 5
- 3
Mimi ni msichana umri miaka 23 natafuta kazi katika library au ofisi yoyote kwa upande wa masijala
Nimesomea mambo ya libray and Record Management ngazi ya Diploma.
Nipo tayari hata kwa kujitolea ili nizidi kupata uzoefu katika kazi.
Ahsante.