HABARI MPASUKO: Trump kushitakiwa muda mfupi ujao

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,191
Muda huwa unatunza kila kitu, hatimaye Bunge nchini Marekani limewasilisha kifungu cha mashtaka dhidi ya Rais wa zamani Donald Trump kwa Seneti, na hivyo kusababisha kuanza kwa kesi dhidi ya rais pekee katika historia ya Merika kushtakiwa mara mbili.
 
Trump alikuwa ni Rais hovyo sana!
6486122.jpg
 
Back
Top Bottom