Dokta: Samahani nina habari mbaya, na nyingine mbaya sana kwako Mgonjwa: Dah! haya nieleze hizo habari mbaya . Dokta: Majibu ya vipimo vyako yametoka. Inaonekana una masaa 24 tu ya kuishi. Mgonjwa: MASAA 24 TU?, he sasa kuna baya zaidi ya hilo? Hilo baya sana ni lipi? Dokta: Nilikuwa nikupe hii habari jana, lakini tulikuwa kwenye mgomo