Habari Leo wamekosa cha kuandika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari Leo wamekosa cha kuandika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 11, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Kila siku habari za kondoo tuuu aghhh inaboa
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Nasubiri yale magazeti ya mhogo mchungu.
   
 3. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaona aibu hawana cha kumsifia gamba lao kubwa prezidaa baada ya masumbuvu ya siku nane....so wanaandika vitu urojoo
   
 4. k

  kaeso JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wameandika kondoo kafanya nini??
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  umenifurahisha...
  but ndio gazeti letu bora Tanzania, inabidi tukubaliane na hali halisi
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bado tu unasomaga? Mi siangaliagi hata!
   
 7. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  umegundua.itakuwa kama babu.
   
 8. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. [h=3]: Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro - Kondoo mwenye Korani ...[/h] - [ Translate this page ]mohamedsemboja.blogspot.com/.../uduru-wilayani-hai-mkoani-kili... - Cached
   siku 3 zilizopita – Kondoo aliyezaliwa na maandishi ya Kiarabu kama yanavyoonekana ubavuni, akiwa na mama yake katika Kijiji cha Uduru wilayani Hai mkoani ...

  2. [h=3]MATEJA 20[/h]mateja20.blogspot.com/ - Cached
   KUZALIWA kwa kondoo mwenye maneno ya kiarabu katika kijiji cha Uduru Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kumefanya kijiji kupata wageni wengi kutoka sehemu ...

  3. [h=3]Kiokote[/h]kiokote.blogspot.com/ - Cached
   1 hour ago – Kondoo huyu aliye zaliwa na maandishi ya kiarabu ubavuni mwake,amefanya kijiji cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimegeuka eneo la ...

  4. [h=3]KORANI - News - Global Publishers[/h] - [ Translate this page ]www.globalpublishers.info/profiles/blog/list?tag=KORANI - Cached
   siku 3 zilizopita – Kondoo aliyezaliwa na maandishi ya Kiarabu (Kulia) kama yanavyoonekana ubavuni,akiwa na mama yake katika Kijiji cha Uduru wilayani Hai ...

  5. [h=3]HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania[/h] - [ Translate this page ]www.habarileo.co.tz/gallery/ - Cached
   Kondoo aliyezaliwa na maandishi ya Kiarabu kama yanavyoonekana ubavuni, akiwa na mama yake katika Kijiji cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro jana. ...

  6. [h=3]Chingaone - Blogspot[/h]chingaone.blogspot.com/ - Cached
   Wakati habari iliyoripotiwa na gazeti hili katika toleo lake la Jumapili (juzi) ikieleza kuwa familia hiyo ya kijiji cha Uduru wilayani Hai mkoani ...

  7. [h=3]Kila la Heri Wana Msimbazi Simba Sports Club ~ Kulikoni Ughaibuni[/h]www.chahali.com/.../kila-la-heri-wana-msimbazi-simba-sports.html - Cached
   Kondoo aliyezaliwa na maandishi ya Kiarabu kama yanavyoonekana ubavuni, akiwa na mama yake katika Kijiji cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro jana. (. ...

  8. [h=3]Kondoo mwenye korani azaliwa - Page 3[/h] - [ Translate this page ]www.jamiiforums.com/...chat/161692-kondoo-mwenye-ko... - Tanzania - Cached
   KIJIJI cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimegeuka eneo la utalii baada ya waumini wa madhehebu ya Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali wilayani.

  9. [h=3].: Kondoo mwenye Korani azaliwa[/h] - [ Translate this page ]watanzaniaoslo.blogspot.com/.../kijiji-cha-uduru-wilayani-hai-mkoa... - Cached
   siku 3 zilizopita – KIJIJI cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimegeuka eneo la utalii baada ya waumini wa madhehebu ya Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali ...

  10. [h=3]Tanga - WASALive[/h] - [ Translate this page ]en.wasalive.com/en/tanga - Cached
   2 mga araw na nakalipas – Wakati habari iliyoripotiwa na gazeti hili katika toleo lake la Jumapili (juzi) ikieleza kuwa familia hiyo ya kijiji cha Uduru wilayani Hai.
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Bora gazeti....
  Hamna ubora wowote
   
 10. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Yaani kila siku wanaandika kondooo kondooo kondoooo.....
  Naona akili zao na za kondoo ngoma droo, ndio maana wanaacha kuandika mambo sencitive yanayolikabili taifa letu wao wamekazania Kondoo kondooo kondoo yaaani vyombo vya habari vya magamba hovyo kabisa.
   
 11. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili zao zinafikiri kwa kutumia...nanihii...masaburi
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Vipi mkuu fanya mpango uende Kuhiji Maka na huyu mwanakondoo wa ajabu.
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Ngoja tukachore kanguruwe baka sawa na la mwanakondoo wa moshi tuone kama watampapatikia namna hii.
   
 14. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  jamaa noma hawa hebu jiulize kwanini soko la kitimoto limedorora kipindi hiki cha mfungo?
   
Loading...