Habari kwa picha

bilengeh

Senior Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
135
Reaction score
86
Habari za saa hizi wapendwa

Leo nataka nitoe habari bicha kama ifuatavyo


Msataafu- hallow Mh raisi hujambo

JPM- CJAMBO MKUU HABARI ZA MAPUMZIKO

Mstaafu- ebhana bwa mdogo nimesahau ugoro wangu hapo kwenye draw (
)

JPM- HHHH MKUU HUJAACHA MATANI YAKO MZEE

Mstaafu- hapana niku serious


Mazungumzo yakaendeleee kwa saa kadhaa mpk kufikia mwisho

JPM- MZEE WANGU NIMEKUEELEWA NA AHIDI NITAUFANYIA KAZI USHAURI WAKO

Mstaafu - na uzingatie bimadaamu bwana hawana shukrani mana wahenge walisema fadhila ya punda mateke

JPM - nni kweli nimejifunza mengi kutoka kwako pamoja na utu wako na kuwathamini lkn bado walikosa shukurani wakawa wanakuandama na matusi na kebehi.
Lkn kwangu watanikalia mbali mita mia
Sitaki ujamaa nao

Mitaaa ya Rukwa.


Tundu- hallow mkuu

Makarai- ndio mwanasheria msomi

Tundu- ebhana mkuu kuna mpya gani!?

Makarai- mdogo wangu nimemiss Magogoni. Chai ya pale ni kiboko

Tundu- hhhhhhh mkuu hata mimi nimemiss nilikuwa na wazo hilo hilo ngoja tupigepige kelele tupate sababu ya kutupeleka white house

Baada ya mwezi

Makarai- mkuu vp barua imejibiwa?

Tundu - hapana mzee... Huyu msukuma kakataa katukatu

Makarai - basi hakuna namna nami nimepamiss hapo fanya mpango hata kwa maandamano tuende bhanaaaaa

Tubdu- hilo mbona dogo kwangu umefika mkuuu

Maraaaa PAAP


Simu inaiitaaa tiiiiiiiiiii tiiiii tiiii

Halllow?

Makarai- mzee za kuamka bhana

Mstaafu- salamu tuu mheshimiwa

Makarai- ebhana mbona huyu jamaa yako c muungwana

Mstaafu- kwanini?

Makarai- yani anaroho mby hata chai ya ikulu anatubania.

Mstaafu- hhhhh bwanamdogo jitahidi kumzoea

Makarai- tumekumiss sana mzee wetu ulikuwa raisi bora

Mstaafu-- hhhhhhhh leo ndo unayajua hayo hhhhhhhh kipinde kile na ukarimu wote nilikuwa nawaonesha mukanilipa nini???!!!

Mkarai - halllow,,,, hallow Mh network inakatakata... Hal.......

Note;; sio kila akuchekeae ni mwema kwako binadamu wengi hatuna shukraani

~the end~
 
Mwaka umeuanza vibaya! Nipe education background yako nikupe kazi kwani hii ya lumumba utavaa nguo zilizojaa viraka na kula yako itakuwa ya shida mno mwaka huu!
Upuuzi mtupu na hata mwalimu wako amekasirika kwa kupoteza muda na nguvu zake kwako!
 
Mwaka umeuanza vibaya! Nipe education background yako nikupe kazi kwani hii ya lumumba utavaa nguo zilizojaa viraka na kula yako itakuwa ya shida mno mwaka huu!
Upuuzi mtupu na hata mwalimu wako amekasirika kwa kupoteza muda na nguvu zake kwako!
Ebhana hiyo kazi ciuwape jamaa zako kwani wote wanakazi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…