Habari kuu ya leo!

Habari kuu ya leo!

salum mabura

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Habari zilizotufikia sasa hivi kupitia mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, zinasema kwamba leo ifikapo saa 1:00 za jioni kutakuwa na giza kubwa kutokana na jua kuzama upande wake wa magharibi!
shime wananchi mkumbuke kuwasha taa zenu mapema.
Mm nishafikisha!
 
Dah! Wacha nikatafute mafuta ya taa kwani kibatali chngu kimeisha mafuta.
 
Back
Top Bottom