Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Tafadhali sana yeyote mwenye access ya kumpata mzee Mangungu amfikishie hii habari.
Mangungu wewe ni shujaa wetu unaipenda Simba kuliko Mo Dewj. Tafadhali tusajilie wachezaji bora achana na porojo za Mo, tena mfukuze ikibidi tutaaibika.