Haaaaaaaaaaah......very clever

Teacher:kwanini umechelewa?
Dogo:kuna mzee alipoteza hela
Teacher:ahaa vizuri,ulikua unamsaidia kutafuta eeh?
Dogo:hapana,nilikua nimeikanyaga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…