Imetokea umepata mgeni nyumbani kwako. Kama kawaida ya ukarimu kwa wageni, ukampatia Soda, Mgeni alipofungua soda, akaona ameshinda Tsh.1000,000/=. Halafu akakuonesha kwamba ameshinda, Then anaaga aondoke... Utamfanyaje?

Walahi hatoki na kitu mlangoni! Haki yake ni kubeba soda tena kwa tumbo aende zake. Hakuja kuchukua chupa wala kizibo. Hiyo bahati ni malipo ya Mungu kwa ukarimu wa mwenyeji. Ni cha aliyetoa hela akanunua soda. Promotion hizo huwa zinawalenga wanaotoa hela kununua soda si vinginevyo. Sasa kama yeye ni mbishi atachagua: aende na kizibo ila aache shingo!
Samahani wakuu, nimeandika hadi nimetoa povu utadhani ni kweli!