Haaaa! Kuna wadada waoga

Alinizidi miaka takribani sita,then niliogopa kuoa mapema,najua tungefika mbali sana
We huoni kuwa wote ni waoga.... Ulishindwa nini kumuingiza ndani kwako mpaka umpeleke nje?
au
 
mwanaume gani anatumia hilo neno? we ni dem acha kuzuga na kama sio dem bas una tabia za kidem dem.
mecheka

Kuna mkaka jirani yangu nae ukiwa unaongea nae mara alambe lips, halafu anajipenda sana

Nilichoka anapoanza kuchat anaweza nitumia " niache bab eeh


Au emoj za


Wanaume wa siku hizi mmmh
 
Basi *buana* ndio nini? Au mwenzetu sio riziki?
 
Mimi sipo hivyo,I'm real men
 
Huo sasa ndo uoga wenyewe kijana....... Mwanaume hana uoga wa kitoto hivyo btw itakuwa bado upo shule ya msingi au sekondari
Alinizidi miaka takribani sita,then niliogopa kuoa mapema,najua tungefika mbali sana
 
Huo sasa ndo uoga wenyewe kijana....... Mwanaume hana uoga wa kitoto hivyo btw itakuwa bado upo shule ya msingi au sekondari
Hapana mkuu,ni degree holder tena ya miaka 5
 
Nilivyoona kichwa cha habari nikajua kabla haujaingiza kichwa yeye ashaanza kupiga makelele na kuizuia kwa mikono yake isiguse mashavu.
 
Ungekuwa karibu alafu ndio unanipigia hiyo story ningekuzaba kofi moja tu akili ikukae sawa
 
Wewe ndio mwoga kwanini hukumpa computer og aone movies mwenzake anaonaga.
 
Dah! Kweli tunadharaulika kutokana na wenzetu wachache! Sasa ndio nini hiki? Badala ya kuingia nae ndani kumpa kimoja cha fasta umetoka nae nje wakati mtu mwenyewe ni muuzaji wa dawa, kwani inamaana hajui dawa za kushusha presha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…