Haaaa! Kuna wadada waoga

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,006
Miaka mitatu iliyopita nilikuwa nimepanga chumba mitaa Tabata kipindi nipo chuo,basi bwana kwenye hiyo nyumba kulikuwepo na mpangaji mwenzagu, Dada mmoja mzuri tu,alikuwa anauza duka la madawa Kariakoo,

Kutokana kwamba nilikuwa na mtu wangu ambaye alikuwa anakuja getto mara kwa mara,sikuwahi kumshobokea zaidi ya salamu tu,pia huwa sipendi kuwa na mchepuko maeneo yaliyo karibu na ninapoishi,

Basi ,siku moja nipo peke yangu ndani napiga msuli mida kama ya saa 5 usiku, nikasikia mlango ukigongwa ,akiri ikanituma kuwa baby wangu ameamua kuja bila taarifa,lahasha! kufunguo mlango namuona yule Dada mpangaji mwenzangu ,nikamuuliza vipi ?,huwezi kuamini Dada akashikwa na kigugumizi daah mpaka nikamuonea huruma,yaani nikaona kama anahangaika sana,nilichofanya nikamshika mkono then nikamwambia nifate huku,nikatoka nae nje kulikuwepo na mabenchi chini ya miti,lengo la kufanya hivyo ni kumpunguzia presha,baada ya dakika 2 ndo nikamuuliza vipi ulikuwa na shida gani? akanijibu anaomba nimpatie computer akaangalie movies ,OK tukarudi ndani nikampatia ,

Mpaka leo huwa najiuliza kwanini alipatwa na kigugumizi wakati huwa anaongea kawaida tu,au alijifikiria nini?

Ujumbe,wadada punguzeni uoga kwa wanaume tulio serious,
 
Ungegegeda
 
Kuna dingi humu nae aliandikaga inahuu,nikamwambia aache, nitabia za kike
mwanaume gani anatumia hilo neno? we ni dem acha kuzuga na kama sio dem bas una tabia za kidem dem.
 
Yaani mkuu alikudharau sana. Kweli kabisa we unahisi shida yake ilikuwa computer saa 5 usiku?

Bora hiki kisa usingekisema kimechafua taswira yako mkuu
 
Kuna sku npo ghetto kama saa 4,demu mmoja mpangaj mwenzangu akaja kuniambia usiku mwema Fulani, wakat alkuwa hanaga kawaida ya kufanya hvo,afu alkuja na nguo ya kulalia,nkaitikia usku mwema pia,akaondoka kwenda kulala,nazan aliniona boya alitegemea maongez zaidi
 
Sasa ww badala ya kumvuta ndani, unamvuta nje kwenye mti, ulikua umeletewa papuchi ya bure ukalemba
 
Mbona sijaona alichoogopa hapo ama nina mawenge
Nia yake ni kuingizwa ndani ghetto ila Jamaa kamkosea akamtoa Nje kwenye mti
Huyo genye zilimsumbua akaona potelea mbali ngoja nirisk lakini mipango ikabaunce
Angeshika mkono tu kuvuta Ndani alikuwa amesharowa kabisa
Hapa kazi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…