Kwa wale walimu woote ngazi ya cheti na stashahada kulikoni hadi leo hakieleweki kuhusu btp nina mdogo yupo chuo huko hadi leo haieleweki kama hiyo btp itakuwe kwa inasemekana serilali haina fedha kwa sasa kukamilisha swala hilo hii imekaaje ati?
Acha kupotosha watu wewe, inaitwa Block Teaching Practise, hiyo Before Teaching practise ni ya kwako. Halafu watu wa shahada wanaleta mbwembwe tu kuondoa "Block" lakini kitaalamu ndivyo inavyoitwa.
Waalimu toka Monduli washawasili vituoni kwa ajili ya BTP sijui vyuo vingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.