Haa ha haa men huwa twaongea bila kufikiri wakati mwingineDuh, kumbe jamaa ni kiwembe hivyo, sometimes tunatakiwa kufikiria outcome ya maneno yetu kabla ya kuyatamka, ila hio Avatar yako, kama huyo ndio hilo gazeti lenyewe huyo, mmh mie simo
Loading...10%