Ha! Siku ya wajinga?

Ino

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
25
Reaction score
7
Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Umerudi nyumbani mapema kuliko kawaida, ile unaingia ndani unamkuta mkeo na rafikiyako wa karibu sana kitandani wamekumbatiana wakiwa uchi, kwa hasira unawauliza kulikoni wanakwambi eti ni siku ya wajinga na ukiangalia ni kweli.
 
kwahiyo wajinga ndio waliwao?:A S-frusty:
Nalog off
 
$o kama ni s/kuu ya wajinga...chumba, kitanda changu..vinahusikaje?!!?
 
Ni kichapo first,there after ndo tuongee sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…