Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Umerudi nyumbani mapema kuliko kawaida, ile unaingia ndani unamkuta mkeo na rafikiyako wa karibu sana kitandani wamekumbatiana wakiwa uchi, kwa hasira unawauliza kulikoni wanakwambi eti ni siku ya wajinga na ukiangalia ni kweli.