miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Hahahahahah! umenifanya nicheke sana we mwanamke unajua kuna muda kama kinaona watu yaani ndio kinachachamaa hatari aaagh! unaangalia kushoto kulia pwituuu ! unachomoa:A S wink:
huyu kazidi
It's all over the picture and within my declaration hun!!!!!
Kazidi vipi jamani wakati mshundundu wake mwenyewe!!!
Angeliomba msaada kweli tungelimuona kazidi...
Hahahahahah! umenifanya nicheke sana we mwanamke unajua kuna muda kama kinaona watu yaani ndio kinachachamaa hatari aaagh! unaangalia kushoto kulia pwituuu ! unachomoa:A S wink:
hahaha ndo hadharani ?
Ha ha ha ha haaaaaaa
Umenichekesha sana weye bibiye, wallah Asprin njoo uongeze ashki we mwana Bazazi
Yaani kushika takoo lako mwenyewe waogopa kisa ni hadharani!!!
Hivi unaweza kupigwa denda mbele ya kadamnasi wewe...
Wallah nikija Dar laziiima nikuletee hallwa
Binti mchokonoko ka nini weye
mmmh! watu8 hii chai ya rangi hiiKuna jamaa alimuona mwanmke kavaa dera, sasa lile dera lilikuwa limezama kwenye kipwinto kama hivyo kwa picha...
Jamaa kwa kufikiria ile hali inamdhalilisha yule bi mkubwa, akalivuta lile dera pwituuu likachomoka kunako kipwinto...
Kumbe bi mkubwa akakasirishwa na kile kitendo, akarusha kibao akisindikiza na maneno 'unikome bwana eenh...'
Basi jamaa kwa kujua labda yule bi mkubwa apenda hali hiyo, kwa ustaarabu akanyoosha mkono kutaka tena kurudishia hilo dera kunako kipwinto...
Imagine hilo timbwili lililotokea hapo...
mmmh! watu8 hii chai ya rangi hii