Mtangazaji mmoja alipokuwa anatangaza mechi kati ya Tanzania dhidi ya Burkinafaso katika mashindano yanayoendelea ya CHAN alikuwa anaitaja Tanzania kama Tanzamavi! Ukisikiliza dhafudhi na umahiri wake wa kiingereza utajua ni mzunguTanzania wajumbe wanajipatia BAISKELI za bure nchi nzima, Traole Raisi wa Burkina Faso anapambana kukuza Sekta ya Kilimo nchini kwake wasiwe Wategemezi kwa wazungu.