Nenda Home Boys pale maeneo ya mwenge ukutane na Ticha Andrew, usipopungua hapo basi uache gym maisha yako! Ila sina namba yao lakini waweza kutazama ITV kati ya saa 11.00 au 11.30 alfajiri huwa ana vipindi vyake vinaonyeshwa nadhani hapo waweza ona contact zake.