Gx 110

face2face

New Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Wakubwa mimi nahitaji GX 110 (mark II grande). Sitaki kuhangaika na kuagiza. Kwa showrooms za kibongo nitapata kwa bei gani?
 
nnayo gx 100 (crester)..bauza 7m mkuu....
 
Chukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
 
Iko moja inauzwa BJV registration,ipo Dar kama interested!!!!
 
Chukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
nani kakwambia Altezza ndege ya ardhini, heheee:A S-confused1:,,Altezza inatumia engine ya kawaida sana '1G' 1980cc spidi km 180 kwa saa, 1G inayotumika hata kwenye Toyota Mark II na Taxi zingine za kawaida, hapo ni body tu uncle kwingine kote Chaser, Mark II!!. nyie ndio mnaokurupuka kununua magari yaliyopo kwenye fashion sasahivi mnakaa nayo miaka miwili yakishakuwa Taxi mnaona si kitu mnauza kwa bei ya hasara, sjui Altezza, Verossa, Subaru!!

=

angalia video clip hii Altezza inakatwa na bwana mdogo Vitz!

 
Last edited by a moderator:
Chukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
alteza ndege ya ardhini? una utani wewe, na VOLKSWAGEN GOLF GT 2005 model yenye speed 300KM/H utasemaje sasa, au kwa SUBARU IMPREZA WRX STI 2000CC yenye 360 BHP utasemaje,acha kukariri kijana
 
Jamani,
Ndivyo inavyoitwa.

Na sio Engine Size yake. Hata hizo Speed 240 mnazosema, hapa bongo mtaendeshea wapi?

Altezza inaitwa hivyo kutokana na muundo wake. Ukiipiga Spoiler pale nyuma kwenye buti, ikakubali, na vile ilivyokaa shape yake mpaka kwenye matairi yake ndio mpango mzima.
 

Kwahiyo ulitaka watu wanunue old-fashioned(504 Peugeot)? Au Toyota Vanguard ukiendesha unayo peke yako? Napingana na wewe ebu check ist bei yake ikoje,ebu check cresta bei yake ikoje? Swala la kuuza bei rahisi inategemea mtu kakwama vp? Ukinunua gari kwa bei rahisi haimaanishi ndio fasheni hzo zimekua tax! Hivi Gari gani utakayonunua mtanzania wakawaida uwe nayo peke yako? Vogue zenyewe zipo kibao sembuse altezza?
 
Last edited by a moderator:
pointi yangu ni kwamba vijana wengi wananunua altezza wakidhani wamenunua sports car wanatupigia makelele barabarani kukimbiza ovyo, mbona wenye mark ii au magari mengine yenye engine sawa na altezza wametulia zao wanaendesha responsibly, au ni body inayowadanganya..
swala la bei ni kwamba bei zake mwaka jana na juzi zilikuwa juu sana, milioni 13au zaidi, mwaka huu hata milioni 8 ukiBargain vizuri unapata, mwakani bei sjui itakuaje. angalia mfano mzuri hili tangazo la november mwaka jana bei ilikuwa 14.5milioni lakini leo hii baada ya mwaka mmoja bei ni 8.7 milioni kwa gari hilihilo!! ''no offence ni maoni yangu tu''
Chukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
 


Hii comment yako imekuja still baada ya ile ya kwangu. Kua kama Great Thinker Mkuu. Pale juu nimeshajibu kua it is about body shape. Still hapa unanisahihisha kwa kuongelea kilekile nilichopost kabla.

Kuhusu price, kuna factors nyingi zinapelekea bei, sio Altezza zote ziliuzwa 14.5mil that time, wala sio Altezza zote zinauzwa around 9mil this time.

Otherwise pamoja sana Mkuu, good maoni still.
 
Uliyeuliza GX110 kwa show room zinarange kati ya mill 13-15, ila ya mkononi nzuri kwa 10 Million unapata,

sijui wadau wengine mnasemaje,.......mtaalam Shakir?

Ila kwa maoni yangu ni gari ya ukweeeli sana
 
Last edited by a moderator:
Uliyeuliza GX110 kwa show room zinarange kati ya mill 13-15, ila ya mkononi nzuri kwa 10 Million unapata,

sijui wadau wengine mnasemaje,.......mtaalam Shakir?

Ila kwa maoni yangu ni gari ya ukweeeli sana

Yeah,
ya ukweli. But nilipata kuziona CIF 2,200. May be Jaribu kucheki possibility za ku-import
 
Last edited by a moderator:

hahahahah nilijua tu kwa kauli yake "altezza ndege ya chini" thread lazima ibadilike.....
 
Last edited by a moderator:


kwa hili nakubaliana na wewe...matokeo yake wanajiumiza na kujiua......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…