Mkuu huu siyo uchangiaji hata kama wewe una access ya kupata, mkuu hii nimenunua na wala sijaiokota kwa bei yako unayosema, na wala mm siuzi kitu kibovu nauza Gari ya ukweli
hiyo bei kubwa saana na kumbuka cc 2450 ni prodo hiyo! mafuta ni balaa
me nadhani ni bora uagize kama iyo kutoka japani ya mwaka 2000 - 2004 ya cc2000 amabyo itafika hapa bila kuzidi M 10