TANZIA Gwiji wa Muziki wa Reggae nchini, Jah Kimbute amefariki dunia

One bright morning when man work is over man will fly away home.

Easy transition brother
 
huyu mwezentu tuliwahi kumshauri ( ma-rastafarians) kuondoa neno la 'Jah' kwenye majina yake ya kisanii lakini alikataaa kata kata,
 
M.A.P Jah Kimbute nakukumbuka sana ulivyokuwa unaturusha Y.M.C.A Maeneo ya Posta miaka ya 90's enzi hizo nakaa UPANGA.
 
huyu mwezentu tuliwahi kumshauri ( ma-rastafarians) kuondoa neno la 'Jah' kwenye majina yake ya kisanii lakini alikataaa kata kata,

Labda unaongea vitu usivyokuwa na ufahamu navyo.
 
Dah, nimesikitika sana,Rastafarians ni watu walio peace sana,sema tu jamii haiwatambui
 
Back
Top Bottom