Gwaride na Halaiki ya Uhuru (Videos)

Asante mwanakijiji naomba nitumie fursa hii kukupa shime kwa makala zako ndani ya mwanahalisi -you are a hero, true tanzanian, great thinker -(ccm; msipodandia hoja ya katiba mpya, mtaachwa na historia), kalamu yako unaitumia ipasavyo na umma unaitikia, nimesha wapa heko kubenea, ndimara, ezekiel, hilal,joster na mbasha -nyie ni bunduki zetu, tunakubali shida mnayowapa watawala na wanasiasa uchwala kama zitto anaelewa sifa za whisky. Tuko pamoja na vita hii itaendelea -maskini majeshi yetu na watanzania kweli sisi vichwa vya wendawazimu -tunapiga kwata mwaka wa 49 huu watu wanalala kwenye tembe? Watu wanatumia vibatari kwa mwanga? Wanafunzi wanabaguliwa kwa mikopo? Kiongozi wa nchi anapatikana kwa uchakachuaji? Akina mama wanakufa kwa kukosa huduma? Watu wana umaskini wa kutupwa kisa ufisadi? Hivi wizara ya mahusiano kazi yake nini mwanakijiji???? Uhuru gani mwalimu analipwa laki 265? Uhuru gani vitisho kuwafungia mwananchi na mwanahalisi? Uhuru gani na katiba kandamizi ya haki? Uhuru gani pasipo na haki?
 
Back
Top Bottom