Gwaride la kimya kimya

nalipenda sana jeshi langu ila hivi karibuni lilinitia simanzi kujiingiza kwenye siasa
 
Iv aya magwaride yanatusaidia nn ss? Mbona naona kama n ya kumfuraisha mgeni rasimi tu.
Wakati majeshi ya wezetu yanawaza ni jinsi gani watakupiga bila wao kuja ktk eneo lako..
 
hilo gwaride nililipenda sana hadi nilitamani kuwa mjeda pamoja na kwamba umri umeenda. walikuwa makini sana na kwa nidhamu ya hali ya juu. jeshi letu zuri sana aisee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…