GWANGJU (1980) mpaka MALAWI (2025)

Girl Poet

Senior Member
Joined
Sep 5, 2025
Posts
137
Reaction score
338
Jana nilikua naangalia filamu moja ya Kikorea inaitwa A TAXI DRIVER (2017).

Niliamua kuitizama bila kujua plot yake, nikawa najichekea zangu tu maana ilianza kama light comedy.


Mara... taratibu story ikaanza kubadilika along with my mood ๐Ÿ˜ต๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ


Elements za kile kilichotokea Malawi Oct iliyopita zikaanza kujitokeza, from state power to protest suppression. Yani uhalisia wa filamu ambayo inaonyesha kilichotokea Gwangju, Korea mwaka 1980 ilikuwa inareflect patterns za matukio ya Malawi vilevile, kiasi kwamba unaweza sema ni copy & paste, with very few exceptions.

Hakuna mwananchi aliyekua salama!


From military blockades, wanajeshi waliovaa kiraia kufanya patrol na kupiga wananchi, carfew, kuua wananchi wasiokua na silaha yoyote, gun shots left and right, media censorship, mabomu ya machozi, sehemu mbali mbali za mji kuchomwa moto, the government working extra hard to control the narrative na kuita ukweli rumours, kuita wanafunzi walioanzisha maandamano RADICALS & GANGSTARS, kusema watu waliokufa ni wachache, miili mingi ya watu waliojeruhiwa ama kuuwawa mitaani na hospital... the list goes on and on ๐Ÿ˜ต


Yani... the whole thing felt familiar in a very disturbing way ๐Ÿซฉ

Nikaanza kukumbuka yale mafuriko ya picha na videos zilizosambaa kila mahali baada ya internet kujerejea nchini Malawi.

Bado nna recording kadhaa za RADIO MALAWI walivyokua wanaendelea na issue zao kama kawaida as if nothing was going on ๐Ÿ˜ฌ



Hapa nimebaki tu najiuliza, kilichotokea Malawi kilikua influenced na hii filamu au ni coincidence tu?? ๐Ÿค”๐Ÿค”

๐Ÿ™‡๐Ÿพ๐Ÿ™‡๐Ÿพ
 
Hao walikuwa hawachomi sheli za watu na kuiba mali ??
Maandamano ya oct 29 yalisindilizwa na uharamia mwingi sana, sifungamani na upande wowote kati ya serikali na waandamanaji , ila huenda waliokufa baadhi walikuwa vibaka na waporaji na wengine walikuwa wanania nzuri na maandamano.
 
  • Wale wa D mbili, Tunaitafuta hii movie.
  • Kwa sasa sio Cuba tena, Ni Malawi.
 
Aisee nikikumbuka redio zetu na tv zetu kipindiki kile!
Tuseme tu hatuna vyombo vya habari.
Tuna clowns ๐Ÿคก wanaoji-parade kama waandishi wa habari na vyombo vyao vya hovyo!!๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ
 
...sehemu mbali mbali za mji kuchomwa moto,


Tukiachana na hilo, let's assume madai yako ya kwamba pengine baadhi ya waliouwawa walikua vibaka... kwahiyo swala la vyombo ya ulinzi kuua vibaka badala ya kuwakamata na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria ni jambo ambalo tunapaswa kulichukulia kwa wepesi??๐Ÿค”
 
Hizo ni picha za AI, Nguvu iliyotumika ilistahili, waliingia watu kutoka nchi jilani, Kuna vijana walilipwa pesa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ