KyemanaMugaza
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 347
- 566
Fumbo kubwa,hayana maanaNini maana ya maisha
Aisee R.I.P namkubali sanaZa usiku huu wakuu,
Mchambuzi nguli wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Gwandumi Mwakatobe, amefariki dunia. Mazishi yake yamepangwa kufanyika siku ya Jumanne mjini Sumbawanga
Binafsi nimekuwa nikifatilia uchambuzi wake kwenye kipindi cha maoni mbele ya mawazo ya meza ya duara kupitia DW hakika alikuwa mjuzi wa mambo mengi, ni pigo kubwa kwa tasinia ya uchambuzi wa matukio mbalimbali ya ndani na kimataifa.
Apumzike kwa amani ndugu yetu
Alikuwaga NeutralKama alikuwa CCM kauli mbiu yetu ni "Kifo ni kifo tu asituletee taharuki hapa"
Hili ni Muhimu Sana kujuaAlikemea ya October 29 ?
Wamemuua au naye ni Mapenzi?Za usiku huu wakuu,
Mchambuzi nguli wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Gwandumi Mwakatobe, amefariki dunia. Mazishi yake yamepangwa kufanyika siku ya Jumanne mjini Sumbawanga
Binafsi nimekuwa nikifatilia uchambuzi wake kwenye kipindi cha maoni mbele ya mawazo ya meza ya duara kupitia DW hakika alikuwa mjuzi wa mambo mengi, ni pigo kubwa kwa tasinia ya uchambuzi wa matukio mbalimbali ya ndani na kimataifa.
Apumzike kwa amani ndugu yetu
Mchambuzi nguli wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Gwandumi Mwakatobe, amefariki dunia
Si moto wala si baridi!Maulana ampe pumziko jema,aamiin!π€Alikuwaga Neutral
Aliyapinga matukio ya October 29 kwa nguvu zote πππππππ.Kama alikuwa CCM kauli mbiu yetu ni "Kifo ni kifo tu asituletee taharuki hapa"
Nilimsikiliza juzi tu (jumamosi) kwenye maoni mbele ya meza ya duara pale DW.Si moto wala si baridi!Maulana ampe pumziko jema,aamiin!π€
Alikuwa ana sauti fulani ya kimamlaka.Apumzike kwa amani mzee wetu.Nilimsikiliza juzi tu (jumamosi) kwenye maoni mbele ya meza ya duara pale DW.
"Matatuzo ya afrika yatatutuliwa na waafrika wenyewe...", ndilo neno lake la mwisho mimi kulisikia π₯².
Dr am 4 real PhD.
Anima π.Alikuwa ana sauti fulani ya kimamlaka.Apumzike kwa amani mzee wetu.