Daah!Wananchi tukishajua siasa ni mchezo wa fursa akili zitatukaa.
Yuko wapi Shangazi Fatma Karume?? Tuliemsifu kwa kuukemea mliouita udikteta wa Magufuli???
Kwa hiyo wananchi mnasemaje fatma karume sio shangazi wa taifa tena!.Daah!
Yaani Fatma Karume anaona alichofanyiwa Agatha Atuahire ni powa tu, sababu kimefanywa na mzanibari mwenzake.
wananhci tunasemaKwa hiyo wananchi mnasemaje fatma karume sio shangazi wa taifa tena!.
Haki itamuinua Fatma! Tatizo anachanganya haki na mapenzi kwa wafuasi wa dini yake!Kwa hiyo wananchi mnasemaje fatma karume sio shangazi wa taifa tena!.
Msikilize Magufuli alivyoshughulikia kupotea kwa watoto NjombeView attachment 3352235
Mnafiki tu huyo
Mnafiki tu huyo
Viroba,Ben Saanane kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ilikuwa ni yeye hatujasahau NDIO MUASISI.
View attachment 3352991
View attachment 3352992
Sisi wananchi sasa tuna mtihani mkubwa mbele yetu kuchagua kati ya Gwajimanize na Samianize.
Gwajimanize kimsingi maana yake ni kuwa na utawala bora unaofuata sheria, ni kufichua maovu, ni kupinga utekaji, kupotezwa na mauaji ya raia kiholela, ni kuwasaka wasiojulikana na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Samianize ni kuwa na utawala wa mabavu usiozingatia katiba na sheria za nchi, ni kuanzisha na kufadhili magenge ya wasiojulikana, ni kuteka, kutesa na kuua raia wenye hoja zinazohitaji majibu kutoka serikalini, ni kusifia viongozi mafisadi na wajinga, ni kuanzisha magenge ya machawa na wapambe wa viongozi serikali hata kama ni wezi na majambazi! Kwa kifupi ku-Samianize ni kuwa na viongozi wasiopenda kutenda haki, wezi wa kura na waliojimilikisha uzalendo ili kuiba rasilimali za nchi!
Sasa kazi kwetu wananchi