Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,677
- 167,628
Kova Ana kisasi na Gwajima baada ya Gwajima kumkana zezeta ambaye Kova alikuwa analazimisha Kuwa ndiye mtesaji wa Dr. Ulimboka.
Kova aliumbuka Sana na baada ya hapo alikaa kimya kabisa akingoja wakati muafaka wa kulipiza kisasi. WAKATI NDIO HUU WA KOVA KUJIINUA.
MAJESHI.... MAJESHI...........
..chanzo ni Pinda banaa.Kova Ana kisasi na Gwajima baada ya Gwajima kumkana zezeta ambaye Kova alikuwa analazimisha Kuwa ndiye mtesaji wa Dr. Ulimboka.
Kova aliumbuka Sana na baada ya hapo alikaa kimya kabisa akingoja wakati muafaka wa kulipiza kisasi. WAKATI NDIO HUU WA KOVA KUJIINUA.
MAJESHI.... MAJESHI...........
Kova Ana kisasi na Gwajima baada ya Gwajima kumkana zezeta ambaye Kova alikuwa analazimisha Kuwa ndiye mtesaji wa Dr. Ulimboka.
Kova aliumbuka Sana na baada ya hapo alikaa kimya kabisa akingoja wakati muafaka wa kulipiza kisasi. WAKATI NDIO HUU WA KOVA KUJIINUA.
MAJESHI.... MAJESHI...........
Mods anzisheni kanuni ya kupiga ban watu wazushi kama huyu anatoka kula ugali wake wa muhogo na nguru halafu anatunga uongo katika ubongo wake na kuumwaga humu JF! ovyo kabisa!
ni wakati wenu waandishi wa Hekaya ina maana ww hujasikia matusi aliyoporomosha Gwajima?
Kwa kumbukumbu uko vizuri.Gwajima alimuumbua Kova Kwenye issue ya Ulimboka baada ya Kova kujaribu kuufanganya ulimwengu Kuwa aliyemtesa Dr. Ulimboka kajisalimisha kanisani kwa Gwajima.
Gwajima alikanusha story feki ya Kova, Kova UKAWA mdogo Kama mtoto wa sisimizi.
kumbe Kova alivyoaibika akawa anapanga mbinu ya kumuumbua Gwajima, sasa Gwajima kaingia Kwenye kumi na nane za Kova.