Gwajima usiingie mkenge jua target ni wewe

Gwajima usiingie mkenge jua target ni wewe

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Leo wazuri mkuu wa Mtandao Mwigulu Nchemba ametoa amri kwa waziri wa mambo ya ndani akayafungulie makanisa ya Ufufuo na uzima sambamba na kuziputia upya sheria za umiliki wa nyumba za ibada .

Agizo hilo limetolewa kwa maelekezo kwamba kufunguliwa kwao siyo kunetokana na msamaha wa kudumu ,no nimsamaha uliyopo chini ya uangalizi wa ndani ya miezi sita .

Sitaku kwenda mbali , kwa upande wangu huo ni mpango kazi wa kutaka kumtia nguvuni Much J Gwajima baada ya kulitafuta kwa muda mrefu ujasusi la mbinguni na kuambulia patupu.

Gwajima unaweza kuukubali huo msamaha ila usiwe fala kuwaamini,jua target ni wewe .

Jamaa wapo seriously sana ,hawajadhamiria kuyoa msamaha wa kweli hizo ni Sanaa tu.

D9 bado ipo palale pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom