Gwajima: Reincarnation ya Mtikila(RIP)?

Back then mtikila ashawahi kumblast Gwajima akidai afufui na anadanganya uma
 

Yaani Mshana hujui Gwajima ni wa mrengo wa chama gani??? Kwenye uchaguzi 2015 alikuwa anakipigia kampeni chama gani. Achakutufanya wote ni nyumbu!!
 
Mahaba kitu cha ajabu mno ujue.....yani ukiona chongo utaita kengeza
 
Yaani Mshana hujui Gwajima ni wa mrengo wa chama gani??? Kwenye uchaguzi 2015 alikuwa anakipigia kampeni chama gani. Achakutufanya wote ni nyumbu!!
Nyumbu[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Gwajima ana ubora wake , ila nadhani kuna mamraka anaigopa pia hataki kuiambia ukweli. Pia amejikita katka kushambulia watu binafsi siyo maswala yenye maslahi mapana kwa taifa.
Umenena vyema mkuu,
Despite of him have collected immense wealth compared to the previous preachers. He always makes noise on petty issues, most of times attacking personalities. And the issue that he fears mkulu makes him no man enough to be compared with the rest.
 
Ningekuwa muumini wake ningeshahama kanisa
 
Gwajima nihana fikra zozote huru? Na kusema hahusiani na chama chochote unajaribu kusema uongo kwani yeye alishasema haitaki ccm na wakati wa uchaguzi alikua upande wa ukawa. Alichonacho sasa ni kumwogopa sana JPM na hathubutu kumzungumza vibaya. Kwa hiyo Gwajima ni mpiga dili kupitia biblia na wanaomwogopa ni wapuuzi tu. Ningependa kuitahadharisha serikali ya JPM im reduce mtu huyu to nothing before 2020 kwa sababu atang'ata tena.
 
gwajima anayatoa yaliyojificha nasisi tunapata kuyajua,ndiyo maana hakuna anayempinga kwa kila sentensi anayoitoa
Mimi sijui gwajima unayemtukuza kakwambia nini cha maana, ukiniuliza mimi freedom ya kuongea isimnyime mtu mwingine freedom yake. You can not just talk everything with the excuse of freedom of speech. Alisema atatuletea watu waliyosoma na Bashite wako wapi?, Nitamfufua Amina Chifupa yupo wapi? mimi sijui mchunga kondoo aliyeamua kuwa mvuruga watu. Mtu wa dini anauwezo wa kuomba na kusamehe hiyo ndiyo version ya mtumishi ninayojua mimi na si yeye. Pole kwa hili ni maoni yangu
 
Mtikila alikuwa ananifurahisha sana na tabia yake ya kukimbilia mahakaman
 
Wabongo tunapenda jadili watu kuliko ideas ndomana Mange na Gwajima wamepata umaarufu! Yote inatokana na wasivyo na busara na uhodari Wao katika kutukana watu na kuongopa madhabahuni na hadharani.
Tatizo sio LA watu kujadili issues tatizo ni watawala kutaka kuwapangia watu waseme nini, kutaka kiki kupita kiasi,kubana Uhuru wa mawazo matokeo ndo haya unayoyaona wao ndo wamegeuka story
 
Gwajima bado anaendelea alipoishia, Ila si kweli kuwa ana chuki na mama Bali gwajima ndio alivyo maana hapo ulikuwa utawala wa magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…