Gwajima ni mzuri anapotokea benchi

Gwajima ni mzuri anapotokea benchi

Ila asikudanganyee mtu CCM wt ndio wale wale mkuu🤔
 
Gwajima nileteeni gwajimaa wakubwa walijua thaman yake na wajinga watakufa naujinga wao
 
Gwajima hafai kuanza kikosi cha kwanza ,anabidi kutokea benchi .

Kwahiyo Mimi namuita Super sub.

"Eti tuwape minimal reform then tuingie katika uchaguzi tuwapige"
Kamaanisha total reforms kea kutumia minimum reforms😂. Kwakuwa anajua wazi anayetakiwa kuanguka ni nani😂
 
Back
Top Bottom