ohooooooo!Safi.
Daudi atakuwa akimwona huyu jamaa atakuwa anajisikia haja.
Jinsi Gwajima alivyoongea juzi anaonyesha haikubali clouds lakini kwasababu wameweka ukweli hadharani ndio maana yupo pamoja nao kwenye hili.Nilisema kuwa Siku Maadui wanaweza kuungana dhidi yako....