Gwajima kwa hili la Mchanga- Asante!

Gwajima kwa hili la Mchanga- Asante!

Ipo siku isiyokua na Jina Mtalia na Kusaga Meno mkikumbuka ya Lissu. Hata hivyo Lissu Ni nani Serikalini hivi kwamba awape pressure kwenye maamuzi na utendaji wenu, nyinyi endeleeni Tu na mipango yenu.
hawa jamaa ndio walivyo, nakumbuka hata bungeni walipoomba suala la dharula kuhusu utekaji na mauaji, walikataa wakasema nchi ina amani, baada ya siku 2 tunasikia askari 8 kibiti wameuwawa, nilihuzunika sana, sasa nadhani walifikiria walichoambiwa huko nyuma na wakakataa, siku hazigandi wacha tuone, na muda unaongea
 
watanzania wengi wajinga wajinga no wonder hatuendelei

eti kwa sababu tuliingia mikataba ya hovyo, tuendelee kuumia kwa sababu tuliisha sign!!

what a stupid argument!!

Ili Mzee wa vijisent aendelee kula kwa upole!!! Maana naona anapigana kwa nguvu zote kama alichofanya kilikuwa halali na hakina tatizo. Badala ya kuwa humble na kuelewa mambo yamebadilika.
Acha hii vita iende inakokwenda, ila JPM amethubutu. Waafrika tukianza kukomaa hivi kwa wingi wetu watatuheshimu...ila tukishinda Ulaya kulialia na kuombaomba, tusahau maisha mema
 
Sababu kubwa ambayo wengi wenu humu mmeshindwa kuitambua kwanini WAPINZANI kwa sasa wamebadili tena gia ANGANI....ni hii hapa....
HIVI mnatambua Nchi ya CANADA kupitia balozi wao hapa nchini ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA????....sasa kwa akili ndogo unategemea LISSU akae kimya pale anapoona maslahi ya MABOSI WAO wanaopangana nao njia za kuwawezesha kuingia ikulu,,akae kimya????EBU CHANGANYENI NA ZENU......
mkubali mkatae nchi hii INARUDISHWA SANA NYUMA NA HAWA WAPUUZI kwa maslahi yao bunafsi......MIMTU INAHONGWA HUKO INAKUJA KUTETEA UPUUZI WAO HAPA
mJUE KABSA TUNAWAONA na tunawasubiri sana
Nyuki shambulia milele yote
 
wapuuzi waliosign hiyo mikataba au ni wapinzani? kama kweli akili inachemka, unadhani mpuuzi ni nani hapo, wenzetu wanaenda kwa maandishi mkuu, hawana mambo tantalila

What is the worst case scenario? Unafikiri wataichukua Tanzania na kuiweka mfukoni mwao? Mbona hawatusaidii kurudisha hela za wale wenzetu wanaoneemeka na mikataba hiyo mbovu?
Kama noma acha iwe noma...ila sasa tutaanza kuheshimiana. I wish more countries could turn their back and say enough...especially Ivory Coast maana France bila Ivory Coast hakuna kitu....
 
Mgeukie jirani yako muulize umerogwaaaaaaaaaaaaa????
 
watanzania wengi wajinga wajinga no wonder hatuendelei

eti kwa sababu tuliingia mikataba ya hovyo, tuendelee kuumia kwa sababu tuliisha sign!!

what a stupid argument!!

Waberoya, hoja sio tuzuie kuibiwa au la, bali hoja ni namna tunavyoshughulikia madai yetu (ambayo kila mwenye akili na nia njema anajua tunaibiwa).

Tusiende kwa hisia na manguvu bali tuwe smart/werevu kwenye kushughulikia tatizo. Tundu Lissu amekuwa verbatim kwenye hili toka mwanzo kuwa tuanze kushughulika na Sheria kisha Mikataba halafu madai. Sasa kwa hisia tunataka kuanza na la mwisho tumalizie na la kwanza, tutakwama.
 
Ni sahihi sana lakini isue ni ile dhahabu yenyewe inafyatuliwa kana tofali yaani pure gold. Hiyo ya kwenye mchanga ni kidogo mno hata kujadili kama taifa isue n zile isue znazobebwa na ndege pale pale mgodini!!!!!
 
Lissu hakueleweka kwa Watanganyika, na sijui kwanini haeleweki au kwa kuwa kaongea professionally?
Kama Profesion yake ni kumkejeli RAIS wetu then you are right. Maana hapo kweli ni gwiji.
 
Waberoya, hoja sio tuzuie kuibiwa au la, bali hoja ni namna tunavyoshughulikia madai yetu (ambayo kila mwenye akili na nia njema anajua tunaibiwa).

Tusiende kwa hisia na manguvu bali tuwe smart/werevu kwenye kushughulikia tatizo. Tundu Lissu amekuwa verbatim kwenye hili toka mwanzo kuwa tuanze kushughulika na Sheria kisha Mikataba halafu madai. Sasa kwa hisia tunataka kuanza na la mwisho tumalizie na la kwanza, tutakwama.
Tundu Lissu hana staha. Wala sio yeye tu anayefikiri kuwa ingekuwa vizuri tungeanza na kuvunja mikataba.
Staily yake ya kushauri hicho mnachoita ushauri ni ya kumkejeli RAIS ambaye honestly ameonyesha ujasiri na dhamira ya kweli kupambana na UFISADI huu.
Reservations zipo nyingi sana. Umesoma andiko la Dr Slaa? umesoma Tamko la kamati kuu CHADEMA? wote wametoa reservations zao lakini wameanza kuunga mkono dhamira na ujasiri wa RAIS kwanza, kisha wakatoa ushauri bila kumkejeli au kumtukana RAIS.
 
Akili zako zilikuwa zimejishikiza kwenye ukuta wa tumbo,bahati mbaya ulipoenda kujisaidia na zenyewe zimetoka na kudumbukia kule uliposhusha mzigo wako.Hivi walioliingiza Taifa kwenye mikataba hii ya kitapeli ni nani?Chadema inahusikaje kwenye rundo la mikataba hii iliyoingiwa kati ya serikali ya ccm na wawekezaji?

Acha kukimbia kivuli chenu,kivuli hakikimbiwi,kadili unavyoongeza kasi kukikimbia kivuli kitakufuata kwa kasi ileile unayoitumia kukikimbia.Wizi na ubadhirifu wote uliotamalaki nchini ni matokeo ya Sera mbovu na za kifisadi za ccm.Mikataba yote inayoliadhibu Taifa ni zao la baraza la mawaziri la serikali ya ccm chini ya uenyekiti wa Rais wa JMT.Kujaribu kuwatwisha wapinzani Mzigo wa lawama katika mikataba hii inayolitafuna Taifa ni uwendawazimu wa kiwango cha Lumumba,ni fikra za kisukule za Lumumba.

Wakati mnasaini mikataba hii mibovu huku mkiwahamisha wakazi wa maeneo hayo na wengine kujikuta wakifukiwa na vifusi kwa jeuri ya mwekezaji kule Bulyankhulu,ni mpinzani gani mliyemshirikisha katika kandarasi yenu ya kusaini mikataba ya kifisadi?Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako.Kuihusisha mikataba hii ya kifisadi na upinzani nchini ni kielelezo cha nakisi ya ubongo uliyonayo.
Mkuu umepovuka sana pole. Huyo uliyemjibu ingawa kataja cdm,lakini kimantiki kamjadili mtu.
Ndugu yangu vita hii inayotutia hasira hata tusio "wachama"ni vita yenye sura ya kitaifa.
Ukisema ccm kama chama, haina mashiko kwa kuwa hao mibaka uchumi waliopo kwa kujificha huko ni wezi sawia na wapiga dili wa cdm.
Magufuli kaonesha njia ya namna vita hii inavyotakiwa kupiganwa.
Kungekuwa na uchama Magufuli angewakumbatia kama zama za tawala zilizopita, lakini anapiga kavukavu bila kuangalia sura ya nyani.
Sasa tukija kwa comment yako, mwenziyo. kamuona Lissu kama yupo upande wa wawekezaji. Lisu kajenga hoja na kuelekeza njia za kufuata ili nchi sijui iepuke na gadhabu za wawekezaji.
Cha kujiuliza, hizo consult za kisheria kwa nini zisitolewe mapema muda ambao wao wanadai kuanzisha hoja hiyo katika kambi ya upinzani?
Vita hii siyo ya vyama vya siasa, ni vita yetu sote kama waTz.
Yeyote anayeonekana kukosoa tunamuona kama ni mchumia tumbo.
Kama ni taaluma za kisheria waitumie kulinasua taifa na si kwa maslahi yao binafsi.
Akili zako zilikuwa zimejishikiza kwenye ukuta wa tumbo,bahati mbaya ulipoenda kujisaidia na zenyewe zimetoka na kudumbukia kule uliposhusha mzigo wako.Hivi walioliingiza Taifa kwenye mikataba hii ya kitapeli ni nani?Chadema inahusikaje kwenye rundo la mikataba hii iliyoingiwa kati ya serikali ya ccm na wawekezaji?

Acha kukimbia kivuli chenu,kivuli hakikimbiwi,kadili unavyoongeza kasi kukikimbia kivuli kitakufuata kwa kasi ileile unayoitumia kukikimbia.Wizi na ubadhirifu wote uliotamalaki nchini ni matokeo ya Sera mbovu na za kifisadi za ccm.Mikataba yote inayoliadhibu Taifa ni zao la baraza la mawaziri la serikali ya ccm chini ya uenyekiti wa Rais wa JMT.Kujaribu kuwatwisha wapinzani Mzigo wa lawama katika mikataba hii inayolitafuna Taifa ni uwendawazimu wa kiwango cha Lumumba,ni fikra za kisukule za Lumumba.

Wakati mnasaini mikataba hii mibovu huku mkiwahamisha wakazi wa maeneo hayo na wengine kujikuta wakifukiwa na vifusi kwa jeuri ya mwekezaji kule Bulyankhulu,ni mpinzani gani mliyemshirikisha katika kandarasi yenu ya kusaini mikataba ya kifisadi?Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako.Kuihusisha mikataba hii ya kifisadi na upinzani nchini ni kielelezo cha nakisi ya ubongo uliyonayo.
Mkuu umepovuka sana pole. Huyo uliyemjibu ingawa kataja cdm,lakini kimantiki kamjadili mtu.
Ndugu yangu vita hii inayotutia hasira hata tusio "wachama"ni vita yenye sura ya kitaifa.
Ukisema ccm haina mashiko kwa kuwa hao mibaka uchumi waliopo jwa kujificha huko ni wezi sawia na wapiga dili wa cdm.
Magufuli kaonesha njia ya namna vita hii inatakiwa kupiganwa.
Kungekuwa na uchama Magufuli angewakumbatia kama zama za tawala zilizopita, lakini anapiga kavukavu bila kuangalia sura ya nyani.
Sasa tukija kwa comment yako, mwenziyo kamuona Lissu kama yupo upande wa wawekezaji.
Kasema na kuelekeza njia za kufuata ili nchi sijui iepuke na gadhabu za wawekezaji.
Cha kujiuliza, hizo consult za kisheria kwa n
 
Mafisadi wa ccm walipokua wanasain mikataba hovyo mbona na wabunge wa upinzani walipokua wanaomba mikataba iwe wazi na wabunge was ccm kuwazomea upinzani mbona mlikua mnashangilia wabunge wenu was ccm?kumbekeni wabunge wa upinzani walitoka nje wakati miswada ya madini inawasilishwa bungeni kumbeni zitto kabwe alifukuzwa bungeni kwa sababu ya kutetea watu khs kampuni hz za madini ccm mlimzomea sana zitto.kumbekeni mnyika alifukuzwa bungeni khs haya mambo ya madini ccm mlishangilia.Leo tumeibiwa sana eti mnashtuka tumeibiwa kwa ujinga wenu pia mnashangilie hakika ccm ni janga ktk nchi hii.ccm mmerogwa na nani? Kwanini nyinyi ni watu was kukurupuka km Hanna akili?Ninpowaangalia ccm naona km watu wasio na uchungu na nchi hii.sasa hakuna rushwa sasa hkn vikao vya majungu sasa hkn zawadi wala kushinda ofisi za ccm kuanzia asubuhi HD jioni kusubiri mbunge au tajiri awape hela kwa ujira wa umbea wenu.sasa tunaisoma mamba wote.hkn kijani barabarani .haya in matokeo ya siasa zenu chafu ccm siasa za kushabikia kila jambo nynyi in makofi tu ndiyooo huku nchi inaliwa .eti mlikuwa mnajifanya makada kumbe makada uchwara wa kupewa pipi wenzenu wanakula keki na watoto wao.ccm hakika MNA dhambi isiyo sameheka milele .na huyu gwajima ni tapeli tu anawatapeli watu kwa kutojielewa .in askofu was umbea tu mchumia tumbo.anapenda tengeneza mambo watu wajae kwake apatoe sadaka jumapili .mnaoenda kwa gwajima mnaliwa tu .tafuteni maarifa mfunguke kifungo cha ujinga na ujuha.
 
Akina Lisu mi siwasomi mnajifanya mnajua sheria na MNA uchungu na nchi mbona hamuendi kutoa huo ushauri kwenye mamlaka husika ila mnatumia TU vyombo vya habari eti Rais asikie,kama MTU anaiamini taaluma yake atafute fursa ya kuonana na Rais vinginevyo ni msaka tonge tyuuuuuu.
 
Mnaongea majukwaani ili kesho mseme tulisema mbona Lowasa hamsemi tulisema.
 
Mwaka 1998 mpaka 2005 wakati Lissu kama mwanasheria kijana(hakua mbunge na sidhani kama alikua na wazo la kua mbunge) akihangaika kuishauri serikali juu ya mikataba ya kipumbavu iliyoingia na hawa watu huyu Gwajima,Pombe na wengine wengi mnaompinga Lissu hamkua na mawazo mnayosema leo,na zaidi mlimuona Lissu kama mtu ambae hakua mzalendo kutaka wawekezaji wa namna hiyo wapingwe na kila mtu .

Miaka 15 baada ya hayo kutokea leo wanakuja kujifanya ni wazalendo na Lissu eti sio mzalendo .

Hivi mnajua wakati huo hizo kazi za kupinga hiyo migodi Lissu alizifanya akiwa analipwa posho tu bila mshahara??

Pia Lissu hajasema tuache hawa watu waendelee kutuibia,amesema tutumie taratibu nzuri ikiwemo kujiondoa kwenye mikataba ya kimataifa ili tusije kuishia kuwalipa faini kisha ndio tuwadili kisawa sawa.
 
Aombe kukutana na Rais ili amshauri kama hawezi kufanya hivyo basi sifa ya uzalendo anaikosa, hawezi kijivika uzalendo na uchungu wakati hana mbinu ya kuongea na mkubwa.hapo ndipo anaonesha kuwa na agenda tofauti na uzalendo.
 
Back
Top Bottom