Gwajima kwa hili la Mchanga- Asante!

Gwajima kwa hili la Mchanga- Asante!

Sababu kubwa ambayo wengi wenu humu mmeshindwa kuitambua kwanini WAPINZANI kwa sasa wamebadili tena gia ANGANI....ni hii hapa....
HIVI mnatambua Nchi ya CANADA kupitia balozi wao hapa nchini ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA????....sasa kwa akili ndogo unategemea LISSU akae kimya pale anapoona maslahi ya MABOSI WAO wanaopangana nao njia za kuwawezesha kuingia ikulu,,akae kimya????EBU CHANGANYENI NA ZENU......HAWA HAWASHINDWI KUPOKEA HONGO TOKA KWA HAWA WAKUBWA kutuletea machafuko humu ndani.....trust me...kama MBOWE aliweza kupokea hizo chache za EDO,CHADEMA waatashindwa vipi kupokea hizo nyingi toka kwa hawa WAKUBWA na kisha kuanza kubwa bwaja UPUUZI kama wafanyavyo sasa........
mkubali mkatae nchi hii INARUDISHWA SANA NYUMA NA HAWA WAPUUZI kwa maslahi yao binafsi na WATU WAKUTUMIWA NA WABAYA WETU KUTULETEA MACHAFUKO HUMU NCHINI NI HAWA CHADEMA kwenye hili sidanganyi......MIMTU INAHONGWA HUKO INAKUJA KUTETEA UPUUZI WAO HAPA
mJUE KABSA TUNAWAONA na tunawasubiri sana
Kwahyo miaka ile ya late 90s na earlier 2000s Lissu alvyokuwa anapambaba na hii mikataba tena akiwa mwanachama wa NCCR alikuwa anamtetea nani?
Nonsense kabisa bora ukojoe tu ulale
 
watanzania wengi wajinga wajinga no wonder hatuendelei

eti kwa sababu tuliingia mikataba ya hovyo, tuendelee kuumia kwa sababu tuliisha sign!!

what a stupid argument!!
Stupid ni wewe unayedhani violent is the only way of solving contractual disputes. No wonder tunalipishwa fidia
 
Tundu Lissu hana staha. Wala sio yeye tu anayefikiri kuwa ingekuwa vizuri tungeanza na kuvunja mikataba.
Staily yake ya kushauri hicho mnachoita ushauri ni ya kumkejeli RAIS ambaye honestly ameonyesha ujasiri na dhamira ya kweli kupambana na UFISADI huu.
Reservations zipo nyingi sana. Umesoma andiko la Dr Slaa? umesoma Tamko la kamati kuu CHADEMA? wote wametoa reservations zao lakini wameanza kuunga mkono dhamira na ujasiri wa RAIS kwanza, kisha wakatoa ushauri bila kumkejeli au kumtukana RAIS.

Sawa Chintu, lakini kama nilimuelewa Waberoya yeye alikuwa anazungumzia contents na sio style ya hoja za Lissu.

Ila bado nafikiri ukosoaji wa Lissu una mashiko. Pia kiongozi/mtu mwenye hekima na busara hawezi kushindwa kupata dhahabu iliyojificha kwenye maneno na staili za mchangiaji/mwananchi kama lengo ni Taifa na sio siasa nk.

Kwa baadhi yetu tuliowahi kuishi na kukutana na mashauri ya Mahakama kwenye nchi za wenzetu, kwa sehemu tunawiwa kutoa maangalizo nk kuwa tukienda kichwa kichwa tutapigwa tu na kuishia kulipa fidia za ajabu ajabu ndio maana ya wito wa kwenda kwa hatua na umakini mkubwa. Mahakama zao ziko highly competent, well equipped na zina mamlaka na uwezo halisi (sio za kisiasa kama za hapo kwetu).
 
Stupid ni wewe unayedhani violent is the only way of solving contractual disputes. No wonder tunalipishwa fidia
Watanzania bwana matatizo tu yaani wameshakuwa wanaamini sababu ya makontena ndio maana sisi maskini, sisi maskini sababu hatuna vision kama nchi tunataka nini sio kusema viwanda tu kirahisi. Sisi ilikuwa to base katika kilimo cha kisasa maana huko tumejaliwa. turudi kwenye mada mikataba tuli sign wenyewe na kwa sherehe sasa unataka kuvunja mkataba pia kuna namna ya kuvunja kisheria. Sisi hatujafikia level ya kuleta jeuri dunia sio kisiwa tutabanwa kama hatujanunua dola moja 5000 tuacheni ushabiki wa kahawa. Mahakama zimewekwa kulinda haki za anayevunja mkataba. watu wa kuwashika ni wale walio sign na bunge lililopitisha pamoja na viongozi fanyeni kama South Korea.
 
Sababu kubwa ambayo wengi wenu humu mmeshindwa kuitambua kwanini WAPINZANI kwa sasa wamebadili tena gia ANGANI....ni hii hapa....
HIVI mnatambua Nchi ya CANADA kupitia balozi wao hapa nchini ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA????....sasa kwa akili ndogo unategemea LISSU akae kimya pale anapoona maslahi ya MABOSI WAO wanaopangana nao njia za kuwawezesha kuingia ikulu,,akae kimya????EBU CHANGANYENI NA ZENU......HAWA HAWASHINDWI KUPOKEA HONGO TOKA KWA HAWA WAKUBWA kutuletea machafuko humu ndani.....trust me...kama MBOWE aliweza kupokea hizo chache za EDO,CHADEMA waatashindwa vipi kupokea hizo nyingi toka kwa hawa WAKUBWA na kisha kuanza kubwa bwaja UPUUZI kama wafanyavyo sasa........
mkubali mkatae nchi hii INARUDISHWA SANA NYUMA NA HAWA WAPUUZI kwa maslahi yao binafsi na WATU WAKUTUMIWA NA WABAYA WETU KUTULETEA MACHAFUKO HUMU NCHINI NI HAWA CHADEMA kwenye hili sidanganyi......MIMTU INAHONGWA HUKO INAKUJA KUTETEA UPUUZI WAO HAPA
mJUE KABSA TUNAWAONA na tunawasubiri sana
Kuna mistari nlitaka kuongeza ila nimejihisi nitaharibu , mijamaa unaudhi asee
 
Unaliona hlo tu...je walio sain mikataba..je waliopewa kutathimin mwanzo dhen wakaja na result za uongo...halija kukela na kukushituka.....alichokisema lisu kinaweza kutokea(probably) coz ni ishu ya mkataba na mkataba unafungwa kisheria kwa pande zote kuridhia.......point ya msingi * kama taifa hatuwez kupoteza kisa kuogopa kushitakiwa...hii itaongeza rahana kwa kizazi hiki dhidi ya kizazi kijacho.....lakn lkn kama umefatilia issue ambayo iko current jamaa hao wamesha anza kuchukua hatua zingine zaid xo we have to address this issue based on truth and reality without fear # binafsi naunga mkono jitiada za rais 100%.
 
Kama Profesion yake ni kumkejeli RAIS wetu then you are right. Maana hapo kweli ni gwiji.
Sikumaanisha kejeli but nachosema ni namna alivyoelezea jinsi ya kujitoa kwenye huo uanachama na kupangua mikataba bila kuleta madhara
 
watanzania wengi wajinga wajinga no wonder hatuendelei

eti kwa sababu tuliingia mikataba ya hovyo, tuendelee kuumia kwa sababu tuliisha sign!!

what a stupid argument!!
Ndo wakili msomi huyo! Mi hata kesi ya kuku simpelekei, alitakiwa aoneshe usomi wake kwa kuonesha njia bora ya kulimaliza tatizo kwa manufaa mapana ya nchi.
 
Waberoya, hoja sio tuzuie kuibiwa au la, bali hoja ni namna tunavyoshughulikia madai yetu (ambayo kila mwenye akili na nia njema anajua tunaibiwa).

Tusiende kwa hisia na manguvu bali tuwe smart/werevu kwenye kushughulikia tatizo. Tundu Lissu amekuwa verbatim kwenye hili toka mwanzo kuwa tuanze kushughulika na Sheria kisha Mikataba halafu madai. Sasa kwa hisia tunataka kuanza na la mwisho tumalizie na la kwanza, tutakwama.
Hoja hapa sio mkataba, hoja hapa ni udanganyifu na wizi. Sa sidhani kama mkataba tuloingizwa nao umesema hata udanganyifu na wizi ni sehemu ya makubaliano yetu. Hauwi mkataba wenye nguvu za kisheria kama part imefanya udanganyifu na wizi hata mdogo. Hii ni njia nzuri ya kuifuta au kuibomoa mikataba hiyo.
 
Mafisadi wa ccm walipokua wanasain mikataba hovyo mbona na wabunge wa upinzani walipokua wanaomba mikataba iwe wazi na wabunge was ccm kuwazomea upinzani mbona mlikua mnashangilia wabunge wenu was ccm?kumbekeni wabunge wa upinzani walitoka nje wakati miswada ya madini inawasilishwa bungeni kumbeni zitto kabwe alifukuzwa bungeni kwa sababu ya kutetea watu khs kampuni hz za madini ccm mlimzomea sana zitto.kumbekeni mnyika alifukuzwa bungeni khs haya mambo ya madini ccm mlishangilia.Leo tumeibiwa sana eti mnashtuka tumeibiwa kwa ujinga wenu pia mnashangilie hakika ccm ni janga ktk nchi hii.ccm mmerogwa na nani? Kwanini nyinyi ni watu was kukurupuka km Hanna akili?Ninpowaangalia ccm naona km watu wasio na uchungu na nchi hii.sasa hakuna rushwa sasa hkn vikao vya majungu sasa hkn zawadi wala kushinda ofisi za ccm kuanzia asubuhi HD jioni kusubiri mbunge au tajiri awape hela kwa ujira wa umbea wenu.sasa tunaisoma mamba wote.hkn kijani barabarani .haya in matokeo ya siasa zenu chafu ccm siasa za kushabikia kila jambo nynyi in makofi tu ndiyooo huku nchi inaliwa .eti mlikuwa mnajifanya makada kumbe makada uchwara wa kupewa pipi wenzenu wanakula keki na watoto wao.ccm hakika MNA dhambi isiyo sameheka milele .na huyu gwajima ni tapeli tu anawatapeli watu kwa kutojielewa .in askofu was umbea tu mchumia tumbo.anapenda tengeneza mambo watu wajae kwake apatoe sadaka jumapili .mnaoenda kwa gwajima mnaliwa tu .tafuteni maarifa mfunguke kifungo cha ujinga na ujuha.
Umeongea vyema, ila umesahau kwamba Tz si chama tawala na wapinzani tu. Kuna Tanzania kwanza hata kabla ya hivyo vyama. Sa kama tumempata rais ambaye anaiwaza nchi kabla ya chama, sote tumuunge mkono.

Kuna clip Magufuli hata kabla hajawaza kuwa raisi alikemea mikataba na wizi huu, hii inaonesha anachokifanya leo ni dhamira yake thabiti, tumuunge mkono si kumbeza tena. Tumuoneshe njia sawia ya kupitia.
 
Akina Lisu mi siwasomi mnajifanya mnajua sheria na MNA uchungu na nchi mbona hamuendi kutoa huo ushauri kwenye mamlaka husika ila mnatumia TU vyombo vya habari eti Rais asikie,kama MTU anaiamini taaluma yake atafute fursa ya kuonana na Rais vinginevyo ni msaka tonge tyuuuuuu.
Na kwa mtu kama Lisu au Mbowe kwa nyadhifa zao, kuonana na raisi sio shida. Wanakwenda wasanii bwana. Hawa hawana dhamira mioyoni mwao kabisa, ni kutafuta kick na uwezeshaji toka kwa makampuni hayo.
 
Mwaka 1998 mpaka 2005 wakati Lissu kama mwanasheria kijana(hakua mbunge na sidhani kama alikua na wazo la kua mbunge) akihangaika kuishauri serikali juu ya mikataba ya kipumbavu iliyoingia na hawa watu huyu Gwajima,Pombe na wengine wengi mnaompinga Lissu hamkua na mawazo mnayosema leo,na zaidi mlimuona Lissu kama mtu ambae hakua mzalendo kutaka wawekezaji wa namna hiyo wapingwe na kila mtu .

Miaka 15 baada ya hayo kutokea leo wanakuja kujifanya ni wazalendo na Lissu eti sio mzalendo .

Hivi mnajua wakati huo hizo kazi za kupinga hiyo migodi Lissu alizifanya akiwa analipwa posho tu bila mshahara??

Pia Lissu hajasema tuache hawa watu waendelee kutuibia,amesema tutumie taratibu nzuri ikiwemo kujiondoa kwenye mikataba ya kimataifa ili tusije kuishia kuwalipa faini kisha ndio tuwadili kisawa sawa.
Kwani serikali imeamua kutumia njia ipi labda? Tuanzie hapo.
 
Aombe kukutana na Rais ili amshauri kama hawezi kufanya hivyo basi sifa ya uzalendo anaikosa, hawezi kijivika uzalendo na uchungu wakati hana mbinu ya kuongea na mkubwa.hapo ndipo anaonesha kuwa na agenda tofauti na uzalendo.
Ujinga ujinga ujinga ujingaaaaa . .

Lissu amepiga kelele kuhusu madini tangu hajawa mbunge . .
Akaendelea kuwatetea watanzania kuhusu mikataba mibovu akiwa mbunge, yeye pamoja na vijana wenzake, akina John Mnyika, Zitto Kabwe na wabunge wote wa upinzani . . HAWA NI WAZALENDO KWELI KWELI . . !

Yote yaliyoshauriwa na BUNGE na TUME MBALIMBALI kuhusu namna ya kufanya kukwepa wizi wa madini yetu, yapo ktk maandishi . .
Wahusika waliotufikisha hapa wapo . . , na wanajulikana . .
Ni CCM na wabunge wake na viongozi wake, MKAPA, JK na mawaziri wake wakati huo . .

Hivi ni kwa nini sasa mnawasakama akina Lissu . . ?!

Nikiwaita WAPUMBAVU ntakuwa nakosea . . ?!
 
watanzania wengi wajinga wajinga no wonder hatuendelei

eti kwa sababu tuliingia mikataba ya hovyo, tuendelee kuumia kwa sababu tuliisha sign!!

what a stupid argument!!
Sasa kama waliotuingiza kwenye mikataba mibovu wapo na wanatambulika kwanini wasikamatwe na kufikishwa mahakamani au nao wanakinga ya kutoshitakiwa?
 
Hoja hapa sio mkataba, hoja hapa ni udanganyifu na wizi. Sa sidhani kama mkataba tuloingizwa nao umesema hata udanganyifu na wizi ni sehemu ya makubaliano yetu. Hauwi mkataba wenye nguvu za kisheria kama part imefanya udanganyifu na wizi hata mdogo. Hii ni njia nzuri ya kuifuta au kuibomoa mikataba hiyo.

Unajua kwanini baadhi yetu hatuungi mkono ki-itikadi au ki-mkumbo mkumbo suala la kuibiwa kwenye madini, gesi na rasilimali nyingine?

1. Falsafa yetu kama nchi ni ipi kwenye madini nk?
2. Maono yetu kama taifa ni yapi? (bajeti na matamko mfano MKUKUTA, MKURABITA sio maono)
3. Sheria zetu za madini (+ gesi, utalii, misitu nk) zikoje?
4. Sheria za kimataifa tulizoridhia (ratified international treaties/conventions)
5. Sheria za nchi yetu (general laws)
6. Sheria za kodi
7. Mikataba ya madini (State-Investor Agreements)

Ndio maana kwa one-man show na tutashindwa tu. Ndio maana hatuwezi kutumia hisia na manguvu kwenye hilo tatizo mtambuka. Ndio maana baadhi yetu tunasema njia tunayoiendea tutakwama, tutumia njia zenye akili na zilizo za kisheria (kwa sababu mambo yenyewe ni ya kisheria tutake tusitake).

Mwisho ushauri unaotolewa (hasa huu unaoonekana ni hasi/-ve) ndio hasa tiba sahihi ya tatizo tulilonalo kama nilivyoainisha hapo juu.
 
Back
Top Bottom