Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

Huyu siyo freemason kweli gwajima? Maan hili kanisa hakuna imani ni siasa 24x7x31x 365
 
He must be very careful this time. Hao akina Bashite hawajamtaja tena jana kwa bahati mbaya, wana malengo yao..!
 
Gwajima ni Babu wa Loliondo wa awamu ya Tano !

Wakat wa Jk jambo dogo tu alikuwa anamporomoshea Matusi Jk lakin awamu hii kila akiongea hatukani Tena Serikal, CCM na Rais zaid ya kuigiza adui yake ni Paul Makonda Pekee!

Kwa wanaodhani Maigizo huwa yanajirudia watasubiri sana, hili ni igizo jipya na Maalum kwa awamu hii!

Shukran sana Taasisi yetu nyeti hapa nchini kwa uratibu wa Maigizo haya!

Paul Makonda ka charge Betteries Makusudi sio kwa bahati Mbaya kwa kuwa igizo lilianza kupoa!
Labda anaridhishwa na utendaji wa JPM, tutajuaje? Jana kaguswa hutaki yeye aguse? Hebu mwache baba askofu azungumze na familia yake!
 
Mm naona Gwajima sasa unalitumia kanisa vibaya, mchungaji hutakiwi kujibu kila linalosemwa, mchungaji unatakiwa kuwa na hekima za hali ya juu sana, fanya kazi ya kuinjilisha siyo kutoa mipasho yako.
KUONYA na KUKEMEA HADHARANI ni miongoni mwa wajibu wa mchungaji, na hiyo ndio hekima. Mchungaji hatakiwi kuwa mtu wa kusemea uvunguni! Mwache baba askofu ainjilishe!
 
Gwajima ni Babu wa Loliondo wa awamu ya Tano !

Wakat wa Jk jambo dogo tu alikuwa anamporomoshea Matusi Jk lakin awamu hii kila akiongea hatukani Tena Serikal, CCM na Rais zaid ya kuigiza adui yake ni Paul Makonda Pekee!

Kwa wanaodhani Maigizo huwa yanajirudia watasubiri sana, hili ni igizo jipya na Maalum kwa awamu hii!

Shukran sana Taasisi yetu nyeti hapa nchini kwa uratibu wa Maigizo haya!

Paul Makonda ka charge Betteries Makusudi sio kwa bahati Mbaya kwa kuwa igizo lilianza kupoa!
Kwahiyo sasa nani anapoteza au anapata zaidi kwenye hili igizo? Au unadhani mkuu wa vijana wa makumbusho ndo anafaidi peke yake? Sadaka anayopiga Gwajima unaionaje?
 
Gwajima ni Babu wa Loliondo wa awamu ya Tano !

Wakat wa Jk jambo dogo tu alikuwa anamporomoshea Matusi Jk lakin awamu hii kila akiongea hatukani Tena Serikal, CCM na Rais zaid ya kuigiza adui yake ni Paul Makonda Pekee!

Kwa wanaodhani Maigizo huwa yanajirudia watasubiri sana, hili ni igizo jipya na Maalum kwa awamu hii!

Shukran sana Taasisi yetu nyeti hapa nchini kwa uratibu wa Maigizo haya!

Paul Makonda ka charge Betteries Makusudi sio kwa bahati Mbaya kwa kuwa igizo lilianza kupoa!
kwahiyo wasukuma wanatuchezesha mdumange kupitia ile idara nyeti
 
Back
Top Bottom