Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Askofu huku mtaani hueleweki! Mimi nilikuwa na imani sana na wewe lakini maelezo yako kwenye Press conference hayajanishawishi kuwa ile video ni fake! Najua kesho utaongea ulisema huku zinaingia kokoto kule unatoka unga. Nachelea kusema zinaweza kutoka kokoto nzima nzima! Come out clean bro otherwise hutaeleweka! Lete ushahidi kuwa sio wewe vinginevyo utapoteza wachache waliobaki wanakuamini! Ni ushauri tu!
akipoteza "NyaniMzee" didhani kama atapungukiajoking
 
Mkuu Elungata,,yaani Gwajiboy na usomi wake ,na uchungaji wake wa kondoo ,analala na mwanamke ampe kisogo vile ,

Kwanini mwanamke ahakikishe haonekani ila mwanaume ndo yuko busy mpaka na kurekebisha camera. Umeona hapo huenda kuna jambo.

Ni vizuri tukawa "dilemma" tusimtete sana bin-adamu mwenzetu wala tusimwamini . .
Mkuu tumwamini Mungu muumba wa mbingu na nchi tu
Mkuu mbona zile alama za kiganjani na ile mistari ni ya gwajima kabisa?

Ina maana alama za viganja nazo hufanana au wali edit pia?
 
Askofu huku mtaani hueleweki! Mimi nilikuwa na imani sana na wewe lakini maelezo yako kwenye Press conference hayajanishawishi kuwa ile video ni fake! Najua kesho utaongea ulisema huku zinaingia kokoto kule unatoka unga. Nachelea kusema zinaweza kutoka kokoto nzima nzima! Come out clean bro otherwise hutaeleweka! Lete ushahidi kuwa sio wewe vinginevyo utapoteza wachache waliobaki wanakuamini! Ni ushauri tu!
Gwajima anajifariji tu! Ile video ni ya kwake na hakuna cha kuruka. Hata hivyo hata yeye hajakanusha popote bali analalamika watu kutoa privacy za watu kwenye mitandao. Angekaa kimya ingemsaidia sana. Hata hivyo anakatika balaaa! Shikamoo Gwajima.
 
#Dr_Bishop_Gwajima
Video ya Gwajima akifanya ngono imetegenezwa na IT vijana wa mkuu wa mkoa wa Dar esalaam saa chache ilitumwa kwenye Group la whatsapp la watumishi wa mkoa baadaye kusamba kwenye magroup mengine.
Clip ambayo Bishop Dr Josephat Gwajima akiwa kifua wazi 100% ni snap yake ila aliyetegeneza clip hiyo aliunganisha clips mbili kwa wakati mmoja yani
-
-
Ile Joseph Gwajima akiwa kifua wazi hii ni clips ambayo Josephat Gwajima alijirekodi mwaka 2008 ndani ya kanisa lilikuwa hata bado halijakamilika na
-
-
Clip ya pili anaonekana Dr.Josephat Gwajima akifanya mapenzi hiyo ni picha ya kijana mmoja anajulikana kwa jina la Chid kichwa cha Gwajima kimekuwa croped kutoka kwenye clip yake nyingine pamoja na dada anayejulikana kwa jina la Cecy ambao wote wawili ni waathirika wa madawa ya kulevya japo kwa sasa wamepona kabisa wanatokea sober house Kigamboni walicheza hiyo clip kwa makubaliano maalum ya kulipwa mil 15 kwa wote wawili wakati editor alipata mil 5
-
-
Walilipwaje pesa nyingi hivyo wakati walikuwa wanafanya hicho kitendo wakiwa #FACE_OFF tukio lenyewe lilifanyika eneo la ukumbi ambao ulipambwa jukwaani ili ufanane na picha waliyokuwa wakiichukulia sample japo walifeli kidogo wakati wa kulinganisha pia kulikuwa na watu wanasimamia zoezi zima kama wamefumaniwa!
-
-
Kwenye hiyo clip ananaonekana Gwajima akinyoosha mkono kuiziba Camera mbapo inaonekana kuna mtu alikuwa anachukuwa tukio sasa iweje Gwajima aone mtu akichukuwa tukio halafu aendelee kufanya mapenzi?
Iko hivi kabla sura ya Gwajima haijapachikwa kwenye hiyo video makubaliano ilikuwa sura ya Chid na dada Cecy zisionekane sasa kipande hicho kinaonekana mkono ukizuia camera Chid alishtuka baada ya kuitwa na Alphonso (Editor) kwamba atizame camera ndipo Chid alipo paniki hapo kuna sauti iliondolewa ‘”we msenge vipi mbona unataka kuniuzisha sura? wakati makubaliano sura zetu zisionekane? Alphonso akamwambia usiwe na wasiwasi hapa natafuta position ya jinsi ya body staili ili wakati anaicrop kichwa cha Gwajima kikae vizuri maana lazima tumgeuzie kwa huku ili watu waone.
Baada ya kumaliza Bashite aliwaka sana baada ya kuona ule mkono uliokuwa unazuia camera maana umeharibu film Chid aligoma kurudia shooting ndipo Chid aliongozana na Alphonso hadi Magomeni ili akashuhudie jinsi editor akifanya kazi na kuhakikisha sura yake haionekani na kubaki sura ya Gwajima ikumbukwe tukio lilifanyikia Kigamboni.
Software iliyotumika kuchezeshea huo mchezo ni Lightwork na Blender Mac OS maalum kwa ajili ya action movies
Mkuu acha utahira basi na zile alama za viganja?
 
Mkuu mbona zile alama za kiganjani na ile mistari ni ya gwajima kabisa?
Ina maana alama za viganja nazo hufanana au wali edit pia?

Simtetei hata kidogo mimi

Hata mm kiganja changu kipo kama vile,
 
biblia inasema kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake woote wataangamia,na imani ni matendo sio maneno sasa unatuambiaje tufuate maneno yake wakati ana matendo maovu??
Hii kauli ya kipumbavu wahuni wengi wa kiimani wanaipenda kuitumia.

Eti fuata maneno yangu, usifuate matendo yangu.

Hawajuhi kwamba matendo yana nguvu kubwa kuliko maneno.
 
#Dr_Bishop_Gwajima
Video ya Gwajima akifanya ngono imetegenezwa na IT vijana wa mkuu wa mkoa wa Dar esalaam saa chache ilitumwa kwenye Group la whatsapp la watumishi wa mkoa baadaye kusamba kwenye magroup mengine.
Clip ambayo Bishop Dr Josephat Gwajima akiwa kifua wazi 100% ni snap yake ila aliyetegeneza clip hiyo aliunganisha clips mbili kwa wakati mmoja yani
-
-
Ile Joseph Gwajima akiwa kifua wazi hii ni clips ambayo Josephat Gwajima alijirekodi mwaka 2008 ndani ya kanisa lilikuwa hata bado halijakamilika na
-
-
Clip ya pili anaonekana Dr.Josephat Gwajima akifanya mapenzi hiyo ni picha ya kijana mmoja anajulikana kwa jina la Chid kichwa cha Gwajima kimekuwa croped kutoka kwenye clip yake nyingine pamoja na dada anayejulikana kwa jina la Cecy ambao wote wawili ni waathirika wa madawa ya kulevya japo kwa sasa wamepona kabisa wanatokea sober house Kigamboni walicheza hiyo clip kwa makubaliano maalum ya kulipwa mil 15 kwa wote wawili wakati editor alipata mil 5
-
-
Walilipwaje pesa nyingi hivyo wakati walikuwa wanafanya hicho kitendo wakiwa #FACE_OFF tukio lenyewe lilifanyika eneo la ukumbi ambao ulipambwa jukwaani ili ufanane na picha waliyokuwa wakiichukulia sample japo walifeli kidogo wakati wa kulinganisha pia kulikuwa na watu wanasimamia zoezi zima kama wamefumaniwa!
-
-
Kwenye hiyo clip ananaonekana Gwajima akinyoosha mkono kuiziba Camera mbapo inaonekana kuna mtu alikuwa anachukuwa tukio sasa iweje Gwajima aone mtu akichukuwa tukio halafu aendelee kufanya mapenzi?
Iko hivi kabla sura ya Gwajima haijapachikwa kwenye hiyo video makubaliano ilikuwa sura ya Chid na dada Cecy zisionekane sasa kipande hicho kinaonekana mkono ukizuia camera Chid alishtuka baada ya kuitwa na Alphonso (Editor) kwamba atizame camera ndipo Chid alipo paniki hapo kuna sauti iliondolewa ‘”we msenge vipi mbona unataka kuniuzisha sura? wakati makubaliano sura zetu zisionekane? Alphonso akamwambia usiwe na wasiwasi hapa natafuta position ya jinsi ya body staili ili wakati anaicrop kichwa cha Gwajima kikae vizuri maana lazima tumgeuzie kwa huku ili watu waone.
Baada ya kumaliza Bashite aliwaka sana baada ya kuona ule mkono uliokuwa unazuia camera maana umeharibu film Chid aligoma kurudia shooting ndipo Chid aliongozana na Alphonso hadi Magomeni ili akashuhudie jinsi editor akifanya kazi na kuhakikisha sura yake haionekani na kubaki sura ya Gwajima ikumbukwe tukio lilifanyikia Kigamboni.
Software iliyotumika kuchezeshea huo mchezo ni Lightwork na Blender Mac OS maalum kwa ajili ya action movies
Video una crop vipi Bro? Acheni kutetea ujinga. Gwajima aombe samahani tu maana kachemka. Na hata yeye hajakanusha kama ile video si yeye. Utetezi alioutoa ni wa kitoto sana. Ni yeye mwenyewe! Mteteeni kwa kuwaambia watu ukweli kwamba yeye ni binadamu na watu wasifuate matendo yake bali maneno yake.
 
Askofu huku mtaani hueleweki! Mimi nilikuwa na imani sana na wewe lakini maelezo yako kwenye Press conference hayajanishawishi kuwa ile video ni fake! Najua kesho utaongea ulisema huku zinaingia kokoto kule unatoka unga. Nachelea kusema zinaweza kutoka kokoto nzima nzima! Come out clean bro otherwise hutaeleweka! Lete ushahidi kuwa sio wewe vinginevyo utapoteza wachache waliobaki wanakuamini! Ni ushauri tu!
Askofu alianza kupotea taratibu wateja wengi wapo kwa bulldozer sasa ametafuta kiki ili kesho ajaribu kurudisha wateja pale kwake
 
Tafuteni watu wa Kiteto na Sumbawanga muwasimulie huo upuuzi! Huyo ni Gwajima mwenyewe. Na hiyo mikono anawaaminisha waumini wake ni ya baunsa ni yake mwenyewe.
 
Mbona jamaa wenyewe hawapigi game vzr??? Hata kama ni makubaliano demu yupo ziiiiiii huku jamaa akiangaika hapa juu tu......
 
Askofu huku mtaani hueleweki! Mimi nilikuwa na imani sana na wewe lakini maelezo yako kwenye Press conference hayajanishawishi kuwa ile video ni fake! Najua kesho utaongea ulisema huku zinaingia kokoto kule unatoka unga. Nachelea kusema zinaweza kutoka kokoto nzima nzima! Come out clean bro otherwise hutaeleweka! Lete ushahidi kuwa sio wewe vinginevyo utapoteza wachache waliobaki wanakuamini! Ni ushauri tu!
Ndio nini?
 
Video una crop vipi Bro? Acheni kutetea ujinga. Gwajima aombe samahani tu maana kachemka. Na hata yeye hajakanusha kama ile video si yeye. Utetezi alioutoa ni wa kitoto sana. Ni yeye mwenyewe! Mteteeni kwa kuwaambia watu ukweli kwamba yeye ni binadamu na watu wasifuate matendo yake bali maneno yake.
Huwezi kukaa madhabauni halafu unawahubiria watu wafuate maneno yako badala ya matendo. Kama ni hivyo hakuna haja ya mchungaji.
 
Ufafanuzi wa video mbaya za askofu Josephat kutoka kwa Familia!

Ndugu wanahabari, Ndugu waumini na watanzania wote kwa ujumla! Habari za leo!

Familia ya Askofu josephat Gwajima inasikitishea na video zinazozunguka mitandaoni zikimuonesha Askofu akifanya matendo ya kishetani! Hii si sawa kabisa na sisi kama familia tumefedheheka sana!

Mimi kama msemaji wa familia ya askofu josephat naomba nianze ufafanuzi wa jambo hili kwa kuwakumbusha kitu kinachoendelea kwenye jamii!

Nyie mtakuwa mashahidi, kuwa kwa sasa kumekuwa na matapeli wengi mtaani ambao ukiwapa nafasi ya kuzungumza nao, wao hukuchukua akili na unaweza kujikuta unafuata kila wanachotaka. kuna watu wameibiwa hela na kuna wengine wakatoa kadi za benki na password zao na kuna wengine wakaenda mpaka nyumbani kukusanya kila kitu na kuwapa mashetani hao. Matukio haya ni mengi na kwa kweli nguvu inayotumika ni ya giza ya muovu ibilisi.

Askofu Gwajima kama inavyojulikana ni mtu wa watu na miezi iliyopita akiwa ofisini kanisani alitembelewa na muumini mmoja ambae aliomba kuombewa kutokana na matatizo yake, askofu alimpa appointment kanisani na alimuombea, lakini muumini yule wa kike alisisitiza askofu aende kwake ili akaombee na makazi yake ili afunguliwe kila mahali...

Askofu Gwajima kutokana na ubusy wa kazi za kanisa alimuahidi angeenda akipata muda, na baada ya mwezi ndipo siku moja siku ya jumamosi askofu aliongozana na muumini yule mpaka kwake ili akamuombee!

Askofu Gwajima anasema anakumbuka aliingia kwenye nyumba nzuri iliyopo maeneo ya mikocheni kisha waliakaa wakaongea na anakumbuka alipewa juice kabla ya kuanza maombi, na hakumbuki nini kiliendelea tena alikuja kupata ufahamu wake akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake, na alijitahidi kuvuta kumbukumbu kuwa alikuwa akitoka wapi lakini hakuweza, aliangalia vitu vyake vyote alikuwa navyo na hakuwa na jeraha wala maumivu.

Askofu alipofika nyumbani alimpigia simu msaidizi wake na kumwambia hali iliyomkuta na alijaribu kukumbuka nyumba aliyokwenda lakini kumbukumbu ziligoma, nao waliamua kupiga magoti na kumuomba Mungu ili shetani ashindwe, na kuanzia wakati ule yule binti hakuwahi kurudi kanisani na jitihada za kumtambua zinaendelea!

Baba Askofu Josephat, baada ya jana kuona kinachozunguka mitaani amesikitishwa sana na kukumbuka huenda yule mwanamke shetani aliemchukua ndie aliemfanyia mazingaombwe na kujikuta akifanya vitu vya kishetani. Kwa mnaomfahamu Baba askofu sijui kama mnaweza kuwa na chembe ya shaka juu ya ukomavu wake katika kumtumikia Mungu, kwa vyovyote asingeweza kufanya ushetani ule na kujirekodi! sisi kama familia tunaendelea kumuomba Mungu ili aliefanya kitu hicho na kusambaza hiyo video akamatwe ili ithibitike ukweli!

Sisi kama familia tunasema mambo haya yapo, na tunajua shetani anataka kujiinua ili kuharikibu kazi ya Mungu lakini tunajua haya ni mapito tu na Mwisho mkono wa Mungu utashinda! Tunaomba radhi kwa wananchi wote na hasa waumini wa kanisa la ufufuo na uzima, lakini tunaomba serikali itumike vizuri katika kuwakamata hawa mashetani wanaojiinua ili Ukweli ukatamalaki!!

Mwisho kabisa, tunawashauri wananchi wote kutoamini watu kirahisi, lakini wadumu sana katika maombi maana shetani pia halali na anatumia hila na mbinu nyingi kuliangusha kanisa la bwana!

Poleni sana watanzania.

Kwa niaba ya familia ya Josephat Gwajima.
Mimi naitwa Boniface
Msemaji wa Familia ya Josephat.
Barikiweni sana!
 
#Dr_Bishop_Gwajima
Video ya Gwajima akifanya ngono imetegenezwa na IT vijana wa mkuu wa mkoa wa Dar esalaam saa chache ilitumwa kwenye Group la whatsapp la watumishi wa mkoa baadaye kusamba kwenye magroup mengine.
Clip ambayo Bishop Dr Josephat Gwajima akiwa kifua wazi 100% ni snap yake ila aliyetegeneza clip hiyo aliunganisha clips mbili kwa wakati mmoja yani
-
-
Ile Joseph Gwajima akiwa kifua wazi hii ni clips ambayo Josephat Gwajima alijirekodi mwaka 2008 ndani ya kanisa lilikuwa hata bado halijakamilika na
-
-
Clip ya pili anaonekana Dr.Josephat Gwajima akifanya mapenzi hiyo ni picha ya kijana mmoja anajulikana kwa jina la Chid kichwa cha Gwajima kimekuwa croped kutoka kwenye clip yake nyingine pamoja na dada anayejulikana kwa jina la Cecy ambao wote wawili ni waathirika wa madawa ya kulevya japo kwa sasa wamepona kabisa wanatokea sober house Kigamboni walicheza hiyo clip kwa makubaliano maalum ya kulipwa mil 15 kwa wote wawili wakati editor alipata mil 5
-
-
Walilipwaje pesa nyingi hivyo wakati walikuwa wanafanya hicho kitendo wakiwa #FACE_OFF tukio lenyewe lilifanyika eneo la ukumbi ambao ulipambwa jukwaani ili ufanane na picha waliyokuwa wakiichukulia sample japo walifeli kidogo wakati wa kulinganisha pia kulikuwa na watu wanasimamia zoezi zima kama wamefumaniwa!
-
-
Kwenye hiyo clip ananaonekana Gwajima akinyoosha mkono kuiziba Camera mbapo inaonekana kuna mtu alikuwa anachukuwa tukio sasa iweje Gwajima aone mtu akichukuwa tukio halafu aendelee kufanya mapenzi?
Iko hivi kabla sura ya Gwajima haijapachikwa kwenye hiyo video makubaliano ilikuwa sura ya Chid na dada Cecy zisionekane sasa kipande hicho kinaonekana mkono ukizuia camera Chid alishtuka baada ya kuitwa na Alphonso (Editor) kwamba atizame camera ndipo Chid alipo paniki hapo kuna sauti iliondolewa ‘”we msenge vipi mbona unataka kuniuzisha sura? wakati makubaliano sura zetu zisionekane? Alphonso akamwambia usiwe na wasiwasi hapa natafuta position ya jinsi ya body staili ili wakati anaicrop kichwa cha Gwajima kikae vizuri maana lazima tumgeuzie kwa huku ili watu waone.
Baada ya kumaliza Bashite aliwaka sana baada ya kuona ule mkono uliokuwa unazuia camera maana umeharibu film Chid aligoma kurudia shooting ndipo Chid aliongozana na Alphonso hadi Magomeni ili akashuhudie jinsi editor akifanya kazi na kuhakikisha sura yake haionekani na kubaki sura ya Gwajima ikumbukwe tukio lilifanyikia Kigamboni.
Software iliyotumika kuchezeshea huo mchezo ni Lightwork na Blender Mac OS maalum kwa ajili ya action movies
Hao maEditor wanafeli wapi kutengeneza movie kali za kibongo?
 
Hii kauli ya kipumbavu wahuni wengi wa kiimani wanaipenda kuitumia.

Eti fuata maneno yangu, usifuate matendo yangu.

Hawajuhi kwamba matendo yana nguvu kubwa kuliko maneno.
na uzuzu wa waumini bado utakuta yanatetea huu ujinga
 
#Dr_Bishop_Gwajima
Video ya Gwajima akifanya ngono imetegenezwa na IT vijana wa mkuu wa mkoa wa Dar esalaam saa chache ilitumwa kwenye Group la whatsapp la watumishi wa mkoa baadaye kusamba kwenye magroup mengine.
Clip ambayo Bishop Dr Josephat Gwajima akiwa kifua wazi 100% ni snap yake ila aliyetegeneza clip hiyo aliunganisha clips mbili kwa wakati mmoja yani
-
-
Ile Joseph Gwajima akiwa kifua wazi hii ni clips ambayo Josephat Gwajima alijirekodi mwaka 2008 ndani ya kanisa lilikuwa hata bado halijakamilika na
-
-
Clip ya pili anaonekana Dr.Josephat Gwajima akifanya mapenzi hiyo ni picha ya kijana mmoja anajulikana kwa jina la Chid kichwa cha Gwajima kimekuwa croped kutoka kwenye clip yake nyingine pamoja na dada anayejulikana kwa jina la Cecy ambao wote wawili ni waathirika wa madawa ya kulevya japo kwa sasa wamepona kabisa wanatokea sober house Kigamboni walicheza hiyo clip kwa makubaliano maalum ya kulipwa mil 15 kwa wote wawili wakati editor alipata mil 5
-
-
Walilipwaje pesa nyingi hivyo wakati walikuwa wanafanya hicho kitendo wakiwa #FACE_OFF tukio lenyewe lilifanyika eneo la ukumbi ambao ulipambwa jukwaani ili ufanane na picha waliyokuwa wakiichukulia sample japo walifeli kidogo wakati wa kulinganisha pia kulikuwa na watu wanasimamia zoezi zima kama wamefumaniwa!
-
-
Kwenye hiyo clip ananaonekana Gwajima akinyoosha mkono kuiziba Camera mbapo inaonekana kuna mtu alikuwa anachukuwa tukio sasa iweje Gwajima aone mtu akichukuwa tukio halafu aendelee kufanya mapenzi?
Iko hivi kabla sura ya Gwajima haijapachikwa kwenye hiyo video makubaliano ilikuwa sura ya Chid na dada Cecy zisionekane sasa kipande hicho kinaonekana mkono ukizuia camera Chid alishtuka baada ya kuitwa na Alphonso (Editor) kwamba atizame camera ndipo Chid alipo paniki hapo kuna sauti iliondolewa ‘”we msenge vipi mbona unataka kuniuzisha sura? wakati makubaliano sura zetu zisionekane? Alphonso akamwambia usiwe na wasiwasi hapa natafuta position ya jinsi ya body staili ili wakati anaicrop kichwa cha Gwajima kikae vizuri maana lazima tumgeuzie kwa huku ili watu waone.
Baada ya kumaliza Bashite aliwaka sana baada ya kuona ule mkono uliokuwa unazuia camera maana umeharibu film Chid aligoma kurudia shooting ndipo Chid aliongozana na Alphonso hadi Magomeni ili akashuhudie jinsi editor akifanya kazi na kuhakikisha sura yake haionekani na kubaki sura ya Gwajima ikumbukwe tukio lilifanyikia Kigamboni.
Software iliyotumika kuchezeshea huo mchezo ni Lightwork na Blender Mac OS maalum kwa ajili ya action movies
Hakuna lolote askofu kubali uliteleza tu.
 
Back
Top Bottom