The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,964
- 13,433
Mbona alikuwa akijigamba kuwa hatishiki kwa vile analindwa na Mungu au Mungu wake kamuacha kama Yesu msalabani? Tungoje kusikia Eloi Eloi Ramasabaktani au?Yupo ila Kwa Sasa kuna UTEKAJI WA CCM hawezi kuonekana
Why?Huwezi walinganisha Gwajima na Ndungai
Namchukulia kama mchumia tumbo na tapeli aliyetumia dini kupata umaarufu ili afanye siasa na akaishia kuangukia pua.UNAMCHUKULIAJE ASKOFU?
KIPINDI CHA KWANZA NDIYO KIMEISHA. MUDA UTAONGEA NA UTAWAONA WATAKAO ANGUKIA PUA.Namchukulia kama mchumia tumbo na tapeli aliyetumia dini kupata umaarufu ili afanye siasa na akaishia kuangukia pua.
Wewe unayetumia Fake ID VS Askofu??Namchukulia kama mchumia tumbo na tapeli aliyetumia dini kupata umaarufu ili afanye siasa na akaishia kuangukia pua.
Wajanja walimwingiza kingi, ht Mpina atajutia upumbavu anaoufanyaAskofu Josephat Gwajima sasa kaisha. Kwanini hakujifunza toka kwa Jobless Ndugai juu ya kutotabirika kwa mama yao?
Alijionyesha kama mtu anayejiamini kumbe mwoga wa kawaida!
Ajirokeze na kupayuka kama mrume kweli tumuone.
Japo alikuwa na hoja, hali ilivyo ni ukweli kakimbia hoja na kuangka chali kidini na kisiasa.
Aliphatic anawatumia CCM asijue watamstukia na kumkomesha.
Sijui kama anajua kilichowatokea akina Edward Sokoine, Aboud Jumbe, James Mapalala, Kasanga Tumbo, maalim Seif, Horace Kolimba na wengine.
Ama kweli, ujanja mwingi mbele kiza.