ngoma ya ukae
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 611
- 621
Kwanini usimchukue yule anaye endelea na mipasho kwenye vituo vya TV? Kujamba ajambe mwingine lawama ziende kwa wazima pua...!!!Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.
Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.
Mpuuzi kabisa, hana akiliBashite ni mwanasiasa alijiingiza kwenye dini acha achapwe
mkuu sema umeshachoka siyo tumeshachokaTushachoka..,,same issues hamna jipya!
Akikaa kimya ataumia.?Mbona huchukii wanasiasa wanaojiingiza kwenye dini,huyu jamaa hana matatizo yoyote wanamchokoza wenyewe,
SAD KWA WATU WASIOELEWA KUWA! HAWA WATU WANAKUAGA NA HIVI VIPAJI VYA AINA MBALI MBALI YA MIUJIZA, LAKINI WAKIVI ABUSE HUWA VINAONDOKA KABISA, SASA UTAONA WAANZA KUFANYA IRRATIONAL BEHAVIORS, BELIEVE ME!mkuu sema umeshachoka siyo tumeshachoka
Akae kimya kwa kuwa anachokozwa na watoto wasio na akili ama?,kumbuka wanao mchokoza wanatumia vyombo vya habari na habari zinafika dunia nzima,kwanza we darasa LA ngapi ambaye umeshindwa kupima mizani yako ya haki dawa sawa, jifunze kuangalia mambo kwa jicho LA haki,na usisahau kuwafundisha wanao hivyoAkikaa kimya ataumia.?
utampenda tu...dude lishaamshwa..Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.
Kwani ni uongo gwajima hajazaa na yule mwanamke?Akae kimya kwa kuwa anachokozwa na watoto wasio na akili ama?,kumbuka wanao mchokoza wanatumia vyombo vya habari na habari zinafika dunia nzima,kwanza we darasa LA ngapi ambaye umeshindwa kupima mizani yako ya haki dawa sawa, jifunze kuangalia mambo kwa jicho LA haki,na usisahau kuwafundisha wanao hivyo