Gwajima: Dude Limeamshwa

Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.
ukiona mtu w nmna hyo ujue kuna watu sio chini ya 20 wanafanya kazi kwa siku kwa ajiliyake tu..na wanalipwa mishahara..na hao watu sio watu wa mchezo mchezo ..ni watu wenye wadhifa mjini hapa na duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…