somijo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 110
- 47
Gwajima alivyoenda kituo cha police (kati) alikuwa mzima na alikuwa akitembea!! Lakini tukaambiwa kazimia ghafla, na akalazwa!! Sijawahi kusikia afya yake labda ana kisukari, shinikizo la damu au magonjwa sugu!! "Mwaweza kunithibitishia" lakini leo ameonyeshwa na anaonekana kupata maumivu makali na ya kuja na kutoweka?? Akiongea anaonekana kuwa mzima lakini baadaye ananyong'onyea tena?? What's wrong with this man?? Mwenye kujua kilichomkumba, na kinachomsumbua atuvye tafadhali!!
Chanzo; Chanel 10
Chanzo; Chanel 10