Watu wamedukua account yako ama ndiyo umetoa makucha rasmi?...hapo
Weka na wewe clip yako hapa ya video tuone ukiongea. Isije ikawa unataka watu wamjadili mtu ambaye ameongea na kueleweka na walio wengi, huku wewe mwenyewe ukiwa ukiwa na mwonekano wa jinsia ya kiume! ila una macho ya kurembua kama umelishwa kungu, na pia una sauti na mapozi kama ya Kizimkazi. "Na hilo nalo mkalitizame"Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi?
Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana.
View: https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi?
Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana.
View: https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
Inaelekea anachokizungumza umekifahamu ndio sababu unaona amekosea. Katika kuandika, kura na kula anafanya sahihi, inavyotakiwa.Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi?
Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana.
View: https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx