Gwajima amkimbia Dk. Slaa

Gwajima anatumia mgongo wa dini kufanikisha dilizake binafsi

Wewe wafa maskini na majungu yako, tumia basi mgongo wa uchawi ili ufanikishe deals zako ili utoke kwenye wimbi hilo zito la umaskini😀
 
Wewe wafa maskini na majungu yako, tumia basi mgongo wa uchawi ili ufanikishe deals zako ili utoke kwenye wimbi hilo zito la umaskini😀
Kwavile bibiyako kukurithisha uchawi unadhani kila mtu amechukua hiyo career-path?
 
Askofu wa kurekodi mipasho na udaku!! Ajifunze maadili toka kwa kina Askofu Pengo.
 
Gazeti la wapi hili???uganda au kenya???
 
Ajabu ni kuwa anazungumzia mambo ya wenzake ya binafsi - ila hasemi ya kwake. Mbona hasemi kuwa ana kesi amezaa na mke wa mtu ambae alikuwa muumini wake na sasa ana kesi?? Ni askofu gani huyo MZINZI???
 
Alizini na wewe?
 
Acha uongo.ulimshikia mguu?
 
Hivi vigazeti vya msimu wa uchaguzi tu, baada ya hapo vinajifia mbali. Yaani kinasema Gwajima hakujibu hoja!!? Hii ni ajabu. Sie tulimsikiliza vema na alijibu tuhuma alizorushiwa na Dr. Mihogo.
 
Askofu wa CHADEMA Josephat Gwajima. Mjumbe wa kamati kuu. Mtu mwenye nguvu ya ushawishi ndani ya CHADEMA. Mwanasiasa aliyejificha ndani ya joho la uchungaji. Kiongozi mwenye kauli kinzani, kwani wakati mmoja anamtukana Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Tanzania Polycap Cardinal Pengo, halafu wakati mwingine anasimama kama mtetezi wake dhidi ya mpinzani wake kisiasa akimwagia sifa lukuki kwamba ni mwanzilishi wa Ukristo.
Askofu aliyejivika joho la kuwatetea mashekhe dhidi ya adui yake wa kisiasa Dr Slaa. Askofu anayepigania "ukombozi wa taifa" bila kueleza ukombozi dhidi ya nini. Askofu pekee ambaye anaweza kutoa siri za kiroho za muumini wake hadharani kwa ajili ya kulinda hadhi yake kisiasa. Askofu Josephat Gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…