mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,743 Reaction score 6,273 Apr 13, 2017 #581 ZIRO said: Bora gwajima sio mnafiki kuliko makanisa ya kama roman yamekaa kimya yanaona uozo unaendelea nchi yanakaa kimya Click to expand... Kuna wanaotumia busara na kuna wanaotumia kiki ili wapate watu wa kuwasikiliza nao wapate misukule ya kutosha kama haka kajamaa.
ZIRO said: Bora gwajima sio mnafiki kuliko makanisa ya kama roman yamekaa kimya yanaona uozo unaendelea nchi yanakaa kimya Click to expand... Kuna wanaotumia busara na kuna wanaotumia kiki ili wapate watu wa kuwasikiliza nao wapate misukule ya kutosha kama haka kajamaa.
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 378 Apr 13, 2017 #582 MADAM T said: Mbona maisha sio magumu kiasi hicho, wewe unaishi wapi? Click to expand... Duniani
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 6,220 Reaction score 3,917 Apr 13, 2017 #583 notkel said: Duniani Click to expand... Dunia kubwa, sijui pande zipi
ZIRO JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 896 Reaction score 659 Apr 14, 2017 #584 mbongo_halisi said: Kuna wanaotumia busara na kuna wanaotumia kiki ili wapate watu wa kuwasikiliza nao wapate misukule ya kutosha kama haka kajamaa. Click to expand... Ogopa sana watu wanaokaa kimya wanajifanya wanabusara. Jaribu kutafuta siri ya kanisa katoliki kwenye serikali zote duniani utajua masilahi yao
mbongo_halisi said: Kuna wanaotumia busara na kuna wanaotumia kiki ili wapate watu wa kuwasikiliza nao wapate misukule ya kutosha kama haka kajamaa. Click to expand... Ogopa sana watu wanaokaa kimya wanajifanya wanabusara. Jaribu kutafuta siri ya kanisa katoliki kwenye serikali zote duniani utajua masilahi yao
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 378 Apr 14, 2017 #585 MADAM T said: Dunia kubwa, sijui pande zipi Click to expand... Jua linapotokea
Wilson Joseph JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 312 Reaction score 279 Apr 14, 2017 #586 agata edward said: Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru Click to expand... Naaam umenena vyema mtumishi
agata edward said: Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru Click to expand... Naaam umenena vyema mtumishi
Wilson Joseph JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 312 Reaction score 279 Apr 14, 2017 #587 Nje ya box said: Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali Click to expand... Watu wametekwa nae na hawajajua ilo
Nje ya box said: Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali Click to expand... Watu wametekwa nae na hawajajua ilo
agata edward JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 6,641 Reaction score 9,412 Apr 14, 2017 #588 ZIRO said: Bora gwajima sio mnafiki kuliko makanisa ya kama roman yamekaa kimya yanaona uozo unaendelea nchi yanakaa kimya Click to expand... Unazani wakatoriki wanakulupukaga kama mzee wako wa misukule
ZIRO said: Bora gwajima sio mnafiki kuliko makanisa ya kama roman yamekaa kimya yanaona uozo unaendelea nchi yanakaa kimya Click to expand... Unazani wakatoriki wanakulupukaga kama mzee wako wa misukule
ngalakeri JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 1,676 Reaction score 1,404 Apr 14, 2017 #589 Nje ya box said: Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali Click to expand... Kumwambia mkosaji makosa yake sio kulipiza kisasi, Askofu go on.
Nje ya box said: Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali Click to expand... Kumwambia mkosaji makosa yake sio kulipiza kisasi, Askofu go on.