Gwajima, acha kumdhihaki Rais

Tuna kiongozi shetani na serikali ya kishetani ya ccm
 
Huwezi kuta makanisa yenye usajili wa wino wa pencil yakawa against chama cha ujamaa.Wote ni lzm wawe makada watiifu ili waishi.
 
Toka lini chaguo la lubuva likawa chagui la Mungu.Chaguo la Kimungu utenda ya Kimungu
 
So what ?
 
Kama kuna Mtanzania ambaye si tu anamdharau bali pia anamsanifu kuliko Maelezo Rais Dkt. Magufuli basi ni Askofu Gwajima.
 

Kweli Tanzania tuna mungu wa hovyo sana, kama alimchagua magufuli basi huyu kweli ni mungu wa mwendokasi
 
Acheni kumsingiza Mungu sema ni chaguo la tume
Yule mzee wa tume kila nikikumbuka akisoma yale matokeo yaliyojumlishwa na March toa February huwa napata uchungu Sana,ndie aliyetuletea shida hizi
 
Gwajima hajakosea

Rais Magufuli ni chaguo la Mungu

Rais Magufuli ni Rais bora kwa sasa Africa and duniani

Kwa hili la Leo naanza kumwelewa elewa. Kuna kitu anacho ila sisi kwakuwa hatumpendi hatumwelewi.

Yaani Leo baada ya kusikia nikapigwa na butwaa baadae nikasoma nukuu za Pasco naona Kama namwelewa hivi, ngoja nitulize akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakobe hakuanza kuandamwa awamu ya tano tuu, huko nyuma kipindi cha NCCR Mageuzi iko katika piki kanisa lake lilipigigwa X nyekundu karibu 98% ya kanisa. Nilikuwa naweka rekodi saw tu inawezekana wengine mlikuwa wadogo
 
Juzi aliomba mabeberu watufutie madeni,Leo mabeberu wanatuhujumu kwa kushirikiana na watu wa maabara
 
Kakobe hakuanza kuandamwa awamu ya tano tuu, huko nyuma kipindi cha NCCR Mageuzi iko katika piki kanisa lake lilipigigwa X nyekundu karibu 98% ya kanisa. Nilikuwa naweka rekodi saw tu inawezekana wengine mlikuwa wadogo

🤔 wengine "walikuwa wadogo" bila shaka. Binafsi mwaka1992 tayari nilishakuwa kidume mtaani. Nashukuru kwa kuongezea nyama.

Ingawa ninacho kumbuka hiyo alama ya ❌ilikuwa ni juzi tu hapa wakati wa JK pale serikali ilipotaka kupitisha umeme mkubwa kupitia ile barabara ya Sam Nujoma (Ubungo - Mwenge) lakini Askofu na wafuasi wake wakatia ngumu mwanzo mwisho kwa kushinda kanisani masaa 24 kila siku.
 
Yap!
Kuchaguliwa ni tofauti na kubarikiwa baraka njema.
Bado uko pale pale mkuu,Abraham alibarikiwa,,lakini hakuona tabu kumuuza Sara Kama dadake ili farao au king Abimael alale nae I'll yeye akamate ugoni,
Daud nae nasikia alibarikiwa,ila alikuwa na vituko,mmojawapo Ni ku masturbate mbele ya mrembo mmoja,simkumbuki huyo bibie Ni Nani,Kama sikosei akaja kuwa mkewe na pia mama wa mfalme solomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…