Guys! we have to learn a lesson here............

Guys! we have to learn a lesson here............

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
real story ya wivu wa kimapenzi.....baba mmoja alikuwa na wake wawil mmoja wa mjin mwingne wa kijjn but huyu dingi akawa close sana na huyu kinara wa town mama wa kijjn akaenda kwa mganga ili jamaa akienda kwa mama mdogo wa mjin jogoo asiwike dah! ding akamaind kweli baada ya kuona kuwa akiwa na mama wa bush jogoo anaparform fresh ila kwa mama wa town haiwik ding akamaind sana kuwa asipomtoa kwenye ile hali atakunywa sumu yule maza wa bush akarud kwa mganga ali apate dawa ya kumrudisha normal kufika kwa mganga wake akakuta ndugu na jamaa wanamalizia kuanua tanga kumbe mganga kafariki so maza akashindwa kumrudisha normal dingi akaamua kujiua baada ya muda.:A S 12:
 
Mwanaume kilaza kweli huyo....sasa alikua anaoa wake wawili ili iwe nini???
Au alikua na Dushelele mbili!!!
 
Binadamu hutafuta shibe wakati ana njaa,na wakati huo chakula huwa cha maana sana.
"
Shibe inapokuja kilichokuwa cha maana huwa cha hovyo na humuona mwenye uhitaji wa hitaji lake la mwanzo kama hana maana.
"
Huyo ndo binadamu bana!
 
aaaah maskin we!! kwa nini hukusema mapema angepona babu ni mtaalam wa hayo mambo lawama hizi zikufikie mleta mada
 
Ok sawa mke kadanje......,uchawi bado unafanya kazi au ndio mume kabaki network search
 
Natumaini ni story ya kutunga, kama ya kweli nipe contacts za huyo mganga ili nimtengeneze mtu fulani.
 
Nimejifunza!Ingekuwa ndefu kidogo tu tungeigiza bongo movie,sasa hii yako haina part 2 ndo tatizo!
 
Hadidhi nzuri ila imejaa mafundisho hasa wale wapenda nyumba ndogo mjue hawa waitwao nyumba ndogo hawapendi kuitwa hivyo milele hivi ukiacha milango wazi wezi lazima watakutembelea.
 
kwa kukoppy tu hujambo!! hadithi hii nishaisikiaga saaanaaaaaa!! but inafundisha wajinga wajinga, ok, nime comment pia!!
 
Ni story ya kwel mganga alikufa ndiyo maana dawa ya kumrudisha huyo baba normal ilikosekana ndyo maana akaamua kujinyonga
 
Atention: window 8 cant read this story,it seems the story is not compartible with this time of science and technology, please try to open with windows of 1984.
 
Back
Top Bottom