Guys! we have to learn a lesson here............

Guys! we have to learn a lesson here............

Ni story ya kwel mganga alikufa ndiyo maana dawa ya kumrudisha huyo baba normal ilikosekana ndyo maana akaamua kujiua anayesem nimetunga mara kusadikika shauri yake mim ni nimesimuliwa na shorsti wa bi mkubwa ambaye alimsindika kwa huyo mganga
 
real story ya wivu wa kimapenzi.....baba mmoja alikuwa na wake wawil mmoja wa mjin mwingne wa kijjn but huyu dingi akawa close sana na huyu kinara wa town mama wa kijjn akaenda kwa mganga ili jamaa akienda kwa mama mdogo wa mjin jogoo asiwike dah! ding akamaind kweli baada ya kuona kuwa akiwa na mama wa bush jogoo anaparform fresh ila kwa mama wa town haiwik ding akamaind sana kuwa asipomtoa kwenye ile hali atakunywa sumu yule maza wa bush akarud kwa mganga ali apate dawa ya kumrudisha normal kufika kwa mganga wake akakuta ndugu na jamaa wanamalizia kuanua tanga kumbe mganga kafariki so maza akashindwa kumrudisha normal dingi akaamua kujiua baada ya muda.:A S 12:

this is noyhing but bullshit
 
kazikwa kweli au bado anatafutwa mganga wa kumponya? na hii ilitokea wapi? au ndio ule mzagao wa mwaka 1993 wa mama ,mwana na konda ,safari ya Lindi.uliwahi kuenea mzagao wa habari kuwa, kuna konda alikataa kumsaidia mama mmoja safarini akielekea lindi. Mama huyo aliishiwa nauli na aliomba konda amsaidie. Konda alikataa na alimtaka ashuke mara moja wakiwa porini. abiria walimbembeleza konda lakini konda alikataa. mwishowe huyo mama akshuka na mwane kati kati ya msitu.

baada ya msaa manne msafiri mmoja alipokuwa napita na gari alimuona mtoto pekee yake alicheza cheza. akamuuliza unafanya nini hapa, yule mtoto akjibu nilikuwa na mama na mama kaliwa na simba!

unaukumbuka uvumi huu?
 
kwahiyo umesimulia na wewe story yako mim ni ishu ya kweli sema wabongo wabish kama kitu gani sijui.......tatizo weng ni matomaso
 
Back
Top Bottom