Guys I need some help kwa tecno M3

Guys I need some help kwa tecno M3

Jayll7

Senior Member
Joined
May 20, 2014
Posts
170
Reaction score
21
Wadau naomba msaada kwa waliowahi kutumia na wanaotumia tecno M3. Sielewi kwa nin siku hizi sim yang ina drain charge faster kiliko kawaida. Afu matumizi yang n yaleyale.
 
Wadau naomba msaada kwa waliowahi kutumia na wanaotumia tecno M3. Sielewi kwa nin siku hizi sim yang ina drain charge faster kiliko kawaida. Afu matumizi yang n yaleyale.

Umeangalia apps zinazorun underground ??
 
Nmekusoma ngoja ntakua na close kila baada ya kuitumia.
 
Back
Top Bottom