Guys are the same!!!!!

Guys are the same!!!!!

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Upuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!!

Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!!

Siku hizi imekua kama fashion ukimuapproach msichana anasema I kwn guyz are the same mm nilishatendwa so wote akili zenu zinafanana???

Je ni ukwel guys are the same???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yeah we the same...na wanawake nao they all the same...wengi wanagegedwa na kuachwa...soyeah i concur with their statement...its just that they dont see kuwa wanajisema kuwa wao wanagegedwa na kuachwa
 
If we are de same y do they proceed lovin'??!!!! Bt human being differ in one or another way??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
eti ni hivi

Every guy cheats in his own way, he remains faithfully as long as he isnt discovered.
 
Upuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!!

Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!!

Siku hizi imekua kama fashion ukimuapproach msichana anasema I kwn guyz are the same mm nilishatendwa so wote akili zenu zinafanana???

Je ni ukwel guys are the same???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mkwara waone utahangaika vipi
 
tatizo sio kugegedwa jamani, wanaume mnafikiri kwamba nyie tu ndo mnaacha wakati hata nyie mnaachwa sana,ni wanagpi wameshafilisiwa na wanawake mali zao je hao wanawake wamewagegeda wanaume au inakuwaje? mimi nafikiri hili swala la kusema wadada wanagegedwa wanaachwa mm niko kinyume kabisa coz sio kila mwanaume unaekuwa nae unataka umng'ang'anie ili khali huna future nae. na nyie wanaume mnaachwa sana tu mbona.
 
Kama kuna wanaume wanaachwa pia kuna haja gan ya kusema guyz are the same??? Ndo kusema wote huachwa???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unakuta mdada katendwa na mwanaume wa kwanza, then wa pili, then unapokuja wewe kama wa nne hivi tayari kisaikolojia ameathirika na matendo aliyotendwa ndio maana anakuambia hivyo.
 
Kama kuna wanaume wanaachwa pia kuna haja gan ya kusema guyz are the same??? Ndo kusema wote huachwa???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kwa hiyo wewe unataka kupinga kuwa guys are not the same? toa sababu ambazo zitawafanya wanawake waanimi kuwa hamko sawa.
 
kwa hiyo wewe unataka kupinga kuwa guys are not the same? toa sababu ambazo zitawafanya wanawake waanimi kuwa hamko sawa.

Kifikra na kimawazo binadamu hotofautiana kwa kiasi fulan ndo maana tunakuwa tofauti???

Aliyekutenda jana si atakayekufanya hvyo kesho!!! Mbaya zaidi galz mnakurupuka kufanya maamuzi kwa watu wa kuwapenda!!!

Pesa inawatawala zaidi ya mapenz ya dhati

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Upuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!!

Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!!

Siku hizi imekua kama fashion ukimuapproach msichana anasema I kwn guyz are the same mm nilishatendwa so wote akili zenu zinafanana???

Je ni ukwel guys are the same???
I' ve been looking everywhere for you
Since the day we met
I' ve never been my old self again oh hoo
You don' t have to beleive in everything
I say right now
Cause to you I' m just another man
Until I prove myself to be
Worthy of your love you see
I' m not the kind of guy
That will bring you
Flowers everyday
I' m not the kind of guy
That will tell you
I love you in many fancy ways
Oh girl !!!
I' ve got to tell you this
I love you !
I want you
I love you !
I want you

Oh hoo hoo


Chorus:
I' m your Romeo
Could you be my Juliet


I know what women want
I' ve been around long enough
To understand it
But I want you to tell me
How to love you
'Cause I want to love you
The way you wanna be loved
It is better to have loved & lost
Than never to have loved at all
I' m not the kind of guy
That will bring you
Flowers everyday
I' m not the kind of guy
That will tell you
I love you in many fancy ways
But my girl
I' ve got to tell you this
I love you !
I want you
I love you !
I want you
I think I' ll prove myself
To be worthy of your love


Chorus till fade
 
But I want you to tell me
How to love you
'Cause I want to love you
The way you wanna be loved
It is better to have loved & losto

This how galz shoulad tell their guyz sio kusema all guyz are the same!!!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanaume wote hatuwezi kuwa na mahusiano kimapenzi na mwanamke mmoja kwa muda mrefu, lazima awe na msaidizi. Hapo ndipo wanaposema wanaume wote ni sawa.
 
Wanaume wote hatuwezi kuwa na mahusiano kimapenzi na mwanamke mmoja kwa muda mrefu, lazima awe na msaidizi. Hapo ndipo wanaposema wanaume wote ni sawa.

Tatizo siyo wanaume ila wanawake ndo wenye tamaa na wanapenda sana wanaume wenye pesa!!!!

Mazingira wanayoyaweka galz ndo yanafanya boyz baadhi wawe hvyo bt si woteeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanaume hatuko sawa bwana, hao wazushi tu! Ukikutana na mwanamke wa hivyo ujue keshatendwa sana na amefikia hatua ya kukata tamaa, lakini ukimpa matumaini na kumfariji hako kamtazamo kanasepa.
Pia hiyo huwa ni fiksi tu ili kidume uamini kwamba yeye sio kicheche
MIMI SIKO SAWA NA WANAUME WENGINE (more than a man)
 
Sasa mwanamke kusema all men are the same means what? Kawazunguka wanaume wote na kuona wako sawa? Na kama hajatembea n wanaume wote ku prove tuko sawa y they come up with this conclusion?

mwanaume kakutenda vibaya au he hurt you o he dont care about you anymore, but vip kaka zako au ur father? Na wao si wanaume? Do they treat u bad? Or they dont care about you? Treat ur man like ur father or brother u wil enjoy the relation sio bla bla mtamegwa na kuachwa
 
Wanaume wote hatuwezi kuwa na mahusiano kimapenzi na mwanamke mmoja kwa muda mrefu, lazima awe na msaidizi. Hapo ndipo wanaposema wanaume wote ni sawa.

Hakunaga kitu wote, sema wengi. Na hii ni miaka ya 1947 miaka ya sasa wanawake nao wanaanza kuwa na tabia hizohizo.
 
The common element in men inayofanyaga waambiwe they are the same ni CHEATING
 
Huo ni mtazamo hasi,kila mwanaume amezaliwa tarehe yake,na kila mwanaume anasifa zake,na jinsi anamvyotreat girl wake!Mi nimekutana na mtazamo huo,hadi hivi nakomaa ili aniamini kuwa mimi si kama aliyemtenda!!!
 
Back
Top Bottom